Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Naona kitambaa cheupe mezani. Kusijekuwa na mabendera ya chadema kwa nyuma.
 
Yeye aongee tu, lakini kwangu mimi hatakaa awe shujaa hata kidogo. Nikikumbuka jinsi alivyokuwa anamtukana mzee Lowassa, sitaweza kumwita shujaa hata kidogo. Ameshiriki kwenye kudidimiza bunge live, halafu eti leo tumwite shujaa, kwa lipi hasa? Namhurumia kama binadamu mwenzangu lakini siwezi kumwita shujaa hata siku moja. Nakumbuka jinsi alivyompigania Magufuli kwenye kampeni, hapo namhurumia sana kwa ubinadamu. Sasa naye si amwage mboga kwamba walimwingiza pale kwa bao la mkono!!
Acha ww mbona tindu lisu almtaja lowasa kuwa ni fisadi papa, siasa mchezo mchafu, akihamia chadema lazima apokewe kwa shangwe tuu ña ataitwa kamanda kama kawa
 
Mara Protea mara leaders, tumuamini yupi? Hii nayo ni kali!!!!!
 
Kipindi bado hamjaanza? Mambo kama haya yanahitaji intelligence ya hali ya juu. Sijui Nape analijua hilo? Poor him. Laiti sote tungejua kuna siku mungu atatuondolea roho na mwili tusingepigana na mwili.
Hiyo press haipo wewe,subiri utaona,Nape hatakuja zitakuja habari mbaya badae
 
Kuna uzi umeanzishwa kuwa NAPE katekwa lakini umeondolewa haraka sana.
Hebu mtujuze
Tusubiri mpaka saa nane, muda huo ndio anategemewa kuwa hapa pretea hotel. Stay tuned
 
Ningelikuwa Mimi ningelikaa kimya na kurudi jimboni kwangu kushirikiana na wananchi katika kutatua kero.
Katika vitu ambavyo mkuu hapendi ni pamoja na hizi press conference.
Nina hakika press conference hii itamuharibia tashwira aliyoitengeneza ndani ya mfumo.
Kama ni kushukuru ni vyema angelienda kushukuru kwa wapiga kura wake jimboni au kupitia kwa Katibu wa Chama chake.
 
Kwa akili ya taahira. Baba wa Taifa mbona hakukubaliana na MACCM walipoamua kupinga vyama vingi? Alikosea mahali? Baba wa Taifa mbona aliizodoa CCM kwa kutokuwa tena chama cha wakulima na wafanyakazi na kusema CCM si mama yake. Je, alikosea mahali? Acha kuonyesha ujuha wako hadharani. Kama huna cha maana cha kuandika kaa kimya badala ya kukurupuka.
He...uMeamia lini CCM! ?
=====
Mfano wako si halisi. Baba wa Taifa hakuwahi kujitoa CCM.
Maelezo yalikulenga wewe ambaye ulikuwa unamkebehi Nape kipindi fulani lakini leo unaibuka na hoja ya namna ile.
Lugha za maudhi ulizotumia inaonyesha kweli mnapengo katika harakati za kuboresha siasa zenu. Jitafakari.
 
Heshima Kwenu wakuu,

Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.

Karibuni.

=======

UPDATES;

=======

13:08hrs: Nipo hapa Protea hotel, Mheshimiwa Nape bado hajafika. Ntamsubiri hapa hapa.

View attachment 485512

Hivi ikitokea asije, atakurudishia Nauli yako pmj na fidia ya muda uliopoteza?
 
Wapi nimeandika aliwahi kujitoa CCM? Acha kujitoa ufahamu. Lugha zangu za maudhi unaziona sana lakini za dikteta uchwara ambazo sasa zinakemewa na Watanzania walio wengi hata ndani ya chama chenu huzioni! Tia akilini kichwani acha kujitoa ufahamu.

Back
Top Bottom