Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Heshima Kwenu wakuu,

Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.

Karibuni.

=======

UPDATES;

=======

13:08hrs: Nipo hapa Protea hotel, Mheshimiwa Nape bado hajafika. Ntamsubiri hapa hapa.

uko mwenyewe nini mkuu
 
Nahsi anatatja kuwashukulu waandishi kwaushilikiano ambao wamempa ktk kipndi chote alpokua akiongoza wizara iyo
 
Tena anakuja kusimama kupinga harakati za madawa ya kulevya kwa nguvu kiasi hicho.......! Cjui mara Rc kuingia Clouds kwa nguvu.

hahahahaha...ivi makonda kwenda kufatilia kurusha kipindi cha shilawadu ni madawa ya kulevya?

Hata kama ni ujinga..watanzania hatujawa wajinga kiasi hiki
 
Nape nape nyie mnamatatizo gani nyie? walikuwepo kina Lowasa leo nape?
 
Heshima Kwenu wakuu,

Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.

Karibuni.

=======

UPDATES;

=======

13:08hrs: Nipo hapa Protea hotel, Mheshimiwa Nape bado hajafika. Ntamsubiri hapa hapa.
Tunasubiri mkuu
 
Yeye aongee tu, lakini kwangu mimi hatakaa awe shujaa hata kidogo. Nikikumbuka jinsi alivyokuwa anamtukana mzee Lowassa, sitaweza kumwita shujaa hata kidogo. Ameshiriki kwenye kudidimiza bunge live, halafu eti leo tumwite shujaa, kwa lipi hasa? Namhurumia kama binadamu mwenzangu lakini siwezi kumwita shujaa hata siku moja. Nakumbuka jinsi alivyompigania Magufuli kwenye kampeni, hapo namhurumia sana kwa ubinadamu. Sasa naye si amwage mboga kwamba walimwingiza pale kwa bao la mkono!!
 
.Nape was never a saint far from it Bunge Live fiasco comes to mind, but when you go out swinging thats how we will always remember you!!
Ungeandika kwa kiswhili ingekupa point nyingi sana
 
Asante sana Bashite Umekuwa nguzo muhimu ya utangamano wa watanzania Sasa tumeshajua tatizo si vyama ni watu .
 
Back
Top Bottom