The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,689
- 2,859
Hapo Protea ni Mita 700 kilipo kituo cha Polisi cha Oyster bay. Ngoja tusubiri
Nasikia kuwa ni ya mboweHivi hii hiyo hoteli ya Protea mmiliki wake ni nani?
Mkuu lete update. Nimeagiza kitwanga lager, naishusha tariteebu, huku nikisubiria ubuyu wako.Heshima Kwenu wakuu,
Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.
Karibuni.
=======
UPDATES;
=======
ule uhuru wa kutoa na kupokea habari haupo tena kwenye katiba yetu?Hapo Protea ni Mita 700 kilipo kituo cha Polisi cha Oyster bay. Ngoja tusubiri
Ilitakiwa Ushujaa wake uanzie apo kwenye inshu ya Msingi kama hiyo.....BTW mkulu alikiri kuwa yeye ndie aliyeamulu hakuna bunge live,Nape was just a messenger,that tells he is behind everything Makonda does.
Leo imetokea tumewaza kitu kinachofanana!!! yaani hata mie nimejiuliza swali kama hilo nikakosa jibuVyeti tu ndio vimetufikisha hapa au kuna kingine?
Acha unafiki ndugu yangu amemtuma wapiTunafuatilia kwa makini.
Sitashangaa Magifuli akamtuma Makonda akavamie hiyo press conference akafanya fujo.
Sema haki ya MunguAmekamatwa