Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,556
aisee wamebakiza kuua tu hawa watu aisee, ndio kazi aliyoambiwa na raisi wetu kwamba bashite piga kaziwashamtibua kwa kumtolea bastola....
aisee wamebakiza kuua tu hawa watu aisee, ndio kazi aliyoambiwa na raisi wetu kwamba bashite piga kaziwashamtibua kwa kumtolea bastola....
ameshamaliza,hata hajaongea sana....amesepa nowDaaah....
Kama utatusaidia kutuhabarisha nini kinasemwa huko kupitia hili bandiko lako, utakuwa umenisaidia pakubwa saaaana. Ni JF tu ndo ninayo kwa sasa, tafadhali!
Hahaha fanyeni kazi au pumzika..Sasa tushike lipi? mara ametekwa, mara anasema anaelekea hotelini, mara arapisiii sijui kasemaje!!!!
Hamna kitu,anatuzuga huyuWengine hatuna hiyo TV E tupeni update
niambie mlangila amesemaje?Mbona anahutubia ndio kamaliza sasa
Kama mshauri mkuu ni Bashite kuna nini tena hapo?Lakini upotoshaji wao hauwezi ukafikia ule wa washauri wa baba mwenye nyumba. Wanaomshauri baba mwenye nyumba bila shaka wao watakuwa na akili mbovu kuliko zake.
sijaridhika,hajaongea sana....naona wamemtibua na zile bastolaAsante tumempata vizur [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] turud jamvini!
Mbona mi naona hit song tuSafi namuona hapa