Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Kuna MP Wamefika na kumfukuza na pia protea wameapewa order kutompokea wala kuruhusu press conference
 
Eti hao watu (polisi ) walikuja kumtishia na bastola ili arudi ndani ya gari, nape akagoma na kusema anachotaka kukizungumza hao polisi hawakijui hivyo lazima aongee. Jamaa alipaniki baada ya hapo na kusema wamelala nje siku nyingi na kupigania chama kwa siku nyingi na kwamba hawezi kutokea mtu na akili yake ndogo atake kuvuruga nchi, source Sibuka FM.
 
nendeni mkamtumbue huko bungeni, mnasubiri nini?
 
Back
Top Bottom