elineema William
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 576
- 288
Hii nchi naona kama movie vile ngoja nione mwisho wa mchezo n wap
aisee...., ukimaliza kumsikiliza unitafuteooh God nape anaongea kwa hasira
Alikua anaongelea kwenye gari.Mbona anahutubia ndio kamaliza sasa
amesemaje kwenye sipichi yake?Alikuwa live tv-E amehutubia akiwa juu ya gari...kuna mtu katoa bastola eti ukamwambia rudi ndani ya gari...sijajua kwa nn hakuingia ukumbini labda ndo zuio lenyewe.
JAMAA UNATAFUTA SHIDA,UNAJUA KUWA SHERIA YA MITANDAO INAFANYA KAZI!!!!Weka ushahidi.....SINDANO LAZIMA ZIMWINGIE MAGUFULI MPAKA AACHE KIBURI
kasemaje?Alikua anaongelea kwenye gari.
Laki si pesa lakini!!![emoji1][emoji1][emoji1]nenda protea hotel
ameshaongea kamalizaJf imegoma ghafla hamna updates
Sio Mungu huyo ni munguAsante sana kwa habari ya ukweli.
MH. MAGUFULI NI CHAGUO LA MUNGU