Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Nape Bwana si angeenda Clouds? Halafu kimyakimya!!!
Lakini upotoshaji wao hauwezi ukafikia ule wa washauri wa baba mwenye nyumba. Wanaomshauri baba mwenye nyumba bila shaka wao watakuwa na akili mbovu kuliko zake.washauri wa nape wanampotosha sana
Siamini kama eti leo mzee wa bao la mkono anapambana na dola ya chama chake!!! Kweli what goes around.... NafwaaaaaaaaNasikiliza kwenye Radio usalama wanamzuia asishuke kwenye gari na Nape amegoma kurudi kwenye gari
ooh God nape anaongea kwa hasira
Mbona anahutubia ndio kamaliza sasaChanzo mwananchi naleta habari soon