Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Ndio kawaida yao wakisha kufukuzwa kazi wanasema maneno mengi . Oh nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko kasahau leo kuwa yeye ndie alikuwa muongo na fitna namba moja alipokuwa anazunguka nchi nzima kumtukana kwa kumkashifu na kumzulia uongo mwanachama mwenzake lowassa kuwa fisadi wakati akijua kuwa hana ushahidi wala uhakika pili anasema kuwa katupa nguvu zake kuiweka ccm madarakani yeye alikuwa na nguvu gani zaidi ya kupiga domo aloiweka ccm yule alotwambia atatumia guvu zake zote kuhakikisha ccm haimfii mikononi mwake. Heko kamanda kwa kuwatanya watu baada ya kuskiliza mipasho waende wakajenge taifa.
 
Sasa ni dhahiri cheche alizoziona Kikwete zimeingia hadi chumbani kwake mwenyewe Kikwete, jana gazeti moja liliandika jinsi ambavyo familia ya Kikwete ilivyotikiswa na checheeee! Kumbuka kale sauti ka JK "ameanza kutema checheee"

Nape aliyekuwa msitari wa mbele kumbomoa Lowasa na kumnadi JPM nchi nzima na hata kuhatarisha maisha yake, nakumbuka ajali mbaya aliyopata akitokea Dar kwenda Lindi, sasa Nape amechomwa na checheeeee!

Checheeee! naona jinsi ambavyo ni raha kuwa mpinzani kwenye awamu hiii, maana checheeee haziwezi kuvuka huku kwetu, wanaunguzana wenyewe tuu.

Checheeee!
Sa hivi sio cheche tena ni jimoto jikubwa likubwa gumoto gwaunguza haswaaa
 
Kama ni vita basi hiyo itafananishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe .....Mapambano yanaendelea
Nilikuwa na movie nyingi za kuangalia pamoja na novel kibao lakini tangu hii tamthilia ilipoanza, nimeacha yote.
 
Mh shimiwa nape ktk skuambayo nimeanza kukukubali nileo hongela sana usteteleke daima
 
Mimi naona Bashite ataipasua CCM na kuisambaratisha nchi. Sasa hivi CCM imegawanyika vipande viwili: 30% wanaomuunga mkono mkuu wa kaya na udikteta wake, na 70% wanaotetea maslahi ya wananchi na kupinga udikteta.
 
Hilo ndiyo la msingi. Nitamwona angalau wa maana(siyo shujaa) kama atajivua uanachama na kuiacha Ccm. Lakini kubaki humo ni upuuzi tuu
Leo anapaza sauti nae eti watu wamekuja na bunduki....wanavyofanyiwa upinzan wao wapo kimya cheo dhamana huja na kuondoka ndio ivo muda utaongea ata anko na bashite muda wao upo karibu sana tuwe wavumilivu wako wapi akina riz1 walikua watu wa kuogopwa leo nao wanataka kutuaminisha tupo level moja nao awap malipo dunian mbingun kukamilisha torati
 
Nape, ccm hakukaliki chadema hakuendeki, uliomtukana sana mzee wa watu.
Ulisasau, Ukiona mwenzako ananyolewa, wewe ........

Ukiona mwenzako ananyolewa, wewe dumbukia baharini!
 
Hakna mtikisiko wa nchi alishindwa sembuse nape mzee wa gori la mkono
 
kuna statement niliisikia akiitamka wakati akimzungumzia yule zombie aliyetoa bastola,alisema...." mimi ndio mtoto wa kimakonde..."

NB:
one touch,double manifestation,
ukichimama nchale,ukichimbia nchale.
 
Mi ninakupongeza tena kwa kuthubutu kuongea wengi wakitumbuliwa hukimbia media na kuona ni maadui.
 
Back
Top Bottom