Mkuu kama haukufuata nyendo za Bashite lazima ungekuwa umekutana na haya"..., rafiki yangu Lowassa anadhani ikulu ni wodi ya wagonjwa.., (ovyo).., anadhani ikulu wodi ya wagonjwa, na wenzake akina Mbowe.., wakamdanganya, lakini kila akiuangalia muziki wa CCM, breki za mwili zinaendelea kulegea.., ndio maana mambo yake yanaharibika ovyo.., la kwanza kubwa, watanzania hatutaki Rais wa majaribio, hatuwezi kuwa na Rais wa majaribio, Rais ambaye tukimwambia akakague majeshi yetu hawezi huyo hafai...., juzi nilikuwa Mbeya, vijana wale wakapiga Push-ups, nikauliza yule Fisadi anaweza.., wakasema atajisaidia jukwaani achana nae...."
- Nape Moses Nnauye, Iringa, Mkutano wa kampeni za CCM, 28.09.2015
Hahaaaa....vibaya hivyo kaka...yaani sio freshi kabisa[emoji23]
Hello
Kweli anaweza kuimudu 'ikuru'!Lowassa Ni mtu makini yuko fiti kwa mapambano anaweza anania pia anaweza kuimudu ikuru vilivyo
umeelewa maana ya hiyo post!!?Lowassa Ni mtu makini yuko fiti kwa mapambano anaweza anania pia anaweza kuimudu ikuru vilivyo
Kazi gani aliyoifanya kuliko mkuu wa upinzani ndani ya mwaka mmoja?,Bado Nape ni jasiri!
Alimsimamia raisi aliyeamini anafaa, na alipoona hafai hakuwa mnafiki kubaki naye, alimuweka Ikulu na amempinga ndani ya mwaka mmoja! angeweza kuwa mnafiki na kubaki kimya ili awe salama muda wote! toka raisi alipokuwa anakosea, taratibu Nape alijionesha kuwa hayuko pamoja, ni mwezi sasa au Zaidi taratibu Nape alikuwa anatweet kuashiria kuwa hali si shwari, I do believe kuwa alionywa lakini bado alisimamia kilichokuwa ni haki kwake!
Kazi iliyofanywa na Nape mwezi huu huwezi hata kuilinganisha ile aliyoifanya mkuu wa kambi ya upinzani ambaye alipekuliwa hadi chumbani yet akawa mpole!