Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

mode swala hili linahitaji mjadala uliojitegemea.

katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.

Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.

kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Kasome instagram sms aliyoipost boss wako (Mwigulu Nchemba) ndio uje hapa kutoa povu lako. Usifikiri bastola inatolewa kirahisi kiasi hicho kama alivyofanya bashite mwenzako
 
Si naskia Afisa hakutoa ID kabla ya kutoa rai kwa Waziri mstaafu na kuanza kutumia nguvu,ilimlazimu kitenge amkabiri tu sasa hamna jinsi maana alijua labda ni muhuni tu kaja kuvuruga mkutano.
 
Please pray for my daughter to walk away from darkness to the Light of Jesus Christ, for protection and safety, and reconcile her back to her family and God's family. In Jesus mighty name, Amen
 
mode swala hili linahitaji mjadala uliojitegemea.

katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.

Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.

kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Ha h ha ha.

Huyo afisa usalama wako alipaswa awe keshafukuzwa kazi mida hii.

1. Yule afisa usalama aloshindwa nini kujitambulisha na kumtaka Nape kikazi na kwa umakini aondoke pale?

2. Kwa nini anatoa silaha na kuikoki pasi na kitisho cha vurugu wala matumizi ya nguvu?

3. Ukikoki silaha ina maana umejiandaa kuifyatua. Kwa nini amfyatulie Nape silaha wakati ambapo hajavunja sheria wala kufanya vurugu?

4. Kwa kushindwa kujitambulisha kisha kutoa silaha na kuikoki ingemlazimu Nape katika hali ya kawaida kujihami..na hapo kingepatikana kisingizio cha kumpiga risasi. Ila Nape ni jasiri hakupepesa hata macho..jamaa akaumbuka.

Kulikuwa na wengi wana silaha zao pale...angalia video clip kwa makini wote wangezitoa umwagaji damu ambao ungetokea usingemithilika na leo ungeliambia nini taifa na hao "usalama wako" uliowatuma?

5. Kuna makosa yenye ushahidi wa kughushi vyeti, majina, matumizi mabaya ya silaha na madaraka, ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma kwa kuwa na mali na pesa zisizoelezeka chanzo mbona hujaomba hatua zichukuliwe dhidi ya "kipenzi" chako??
 
Katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.

Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.

kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Hongera kwa tuliokuelewa.Wasiokuelewa watakutukana sana.
 
mode swala hili linahitaji mjadala uliojitegemea.

katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.

Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTORA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.

kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake

Anayetakiwa Kukamatwa ni Yule Mbwa unayemwita Afisa Usalama, alijitambulisha kwa Nani? Hakuwa na Beji. Na kwanza ni Bashite, Zero kwenye Ueledi wa Usalama. Ukitoa silaha, Kabla ya Kutoa Silaha ya Moto Lazima Upaze sauti ya Kutambulisha chombo unachofanyia Mfano "Police" "FBI" na Kwa Tanzania Unatakiwa useme Jina na Chombo! Uwe na Badge (Nembo inayoonekana) Kisha Ukishatoa Silaha Huwezi kumshika shika tena subject kwa mikono, Pili huwezi Kuirudisha halani, Unatakiwa aidha Kumyutrolize the subject au kumlenga huku ukimwamuru afanye utakalo eg Mikono juu, au Lala Chini etc. Kuchomoa Bastola na Kuirudisha ghafla ni Utoto na Ubashite wa Maswala ya Usalama. Nape angeliamua Kutoa Bastola na Kumwasha Huyu Mbwa, Mahakamani angeshinda kesi kirahisi sana kama self defence!

Kama hawa Ndio TIS wanaotumika Kuwatishatisha Watanzania basi Magufuli ameingia choo cha Kike maana Ingekuwa Ni mimi Ningemwasha Ningemtundika shaba kama sita na asingejua hata Bastola Nimechomoa saa ngapi. Why? anakataa Kujitambulisha hana nembo halafu ananjchomolea silaha na kuirudisha, Ningejuaje kama ni Jambazi ananiteka na huenda ataichomoa tena au atanisukuma kwenye Gari na Kunishuti?

Aibu sana!
 
"..., rafiki yangu Lowassa anadhani ikulu ni wodi ya wagonjwa.., (ovyo).., anadhani ikulu wodi ya wagonjwa, na wenzake akina Mbowe.., wakamdanganya, lakini kila akiuangalia muziki wa CCM, breki za mwili zinaendelea kulegea.., ndio maana mambo yake yanaharibika ovyo.., la kwanza kubwa, watanzania hatutaki Rais wa majaribio, hatuwezi kuwa na Rais wa majaribio, Rais ambaye tukimwambia akakague majeshi yetu hawezi huyo hafai...., juzi nilikuwa Mbeya, vijana wale wakapiga Push-ups, nikauliza yule Fisadi anaweza.., wakasema atajisaidia jukwaani achana nae...."

- Nape Moses Nnauye, Iringa, Mkutano wa kampeni za CCM, 28.09.2015

lakini si alikuwa anaongea ukweli.
 
mode swala hili linahitaji mjadala uliojitegemea.

katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.

Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.

kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Hizi pumba usilete humu.

WEWE kama mtu mwenye busara ungekuwepo pale je usingeweza kuzuia jambo lisilo jema kutokea mbele yako.

Kisheria kila mtu anawajibu wa kujali mtu mwingine pale ambapo jambo ambalo si jema linafanyika.
 
"..., rafiki yangu Lowassa anadhani ikulu ni wodi ya wagonjwa.., (ovyo).., anadhani ikulu wodi ya wagonjwa, na wenzake akina Mbowe.., wakamdanganya, lakini kila akiuangalia muziki wa CCM, breki za mwili zinaendelea kulegea.., ndio maana mambo yake yanaharibika ovyo.., la kwanza kubwa, watanzania hatutaki Rais wa majaribio, hatuwezi kuwa na Rais wa majaribio, Rais ambaye tukimwambia akakague majeshi yetu hawezi huyo hafai...., juzi nilikuwa Mbeya, vijana wale wakapiga Push-ups, nikauliza yule Fisadi anaweza.., wakasema atajisaidia jukwaani achana nae...."

- Nape Moses Nnauye, Iringa, Mkutano wa kampeni za CCM, 28.09.2015
Siasa za kampeni, ila kabidilika mpeni ushirikiano
 
Katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.

Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.

kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
IMG-20170324-WA0002.jpg
 
Stupid comments. Kwanini firing mode kwenye public area to unarmed person???
 
Dili kama hizi msile wenyewe basi tuambizane jamani hali imeshakuwa ngumu. Hivi yule alikuwa askari kweli?
 
Mtu anaombwa kitambulisho anatoa bastola upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom