Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.

Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.

kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Screenshot_20170324-082201.png
 
Umejuaje alikuwa afisa usalama ikiwa hakujitambulisha, Au wewe ni BF wa Bashite?[/QUOTEUba shite unakujaje?Aliye post hiyo habari if you can read between the lines ni kuwa ana provoke discussion.Anakaribisha mjadala mpana na naamini dhamira yake si kuwa kweli Kitenge ashtakiwe.
Marandu nakuheshimu next time angalia unachoanadika.
 
Ilizoeleka mateso, manyanyaso na uonevu nchi hii ni kwa ajili ya wa upinzani tu. Kuna wakati ilikua ukiwa upinzani ni kama muuaji au mhalifu tu muda wowote ukae tayari kupigwa na kunyanyaswa, juzi ilipotokea kwa mheshimiwa Godless Lema wapo wana CCM ambao walifurai sana na pia hata baadhi ya mawaziri walishabikia lkn wasichokijua hata wao utafika wakati watanyanyasika na na kuonewa kama yule.

Tusishabikie ujinga na upuuzi unaofanywa kwa upinzani mkidhani hamtaguswa kesho na keshokutwa mtakuja upinzani mtakuta zile sheria mlizowawekea Ndo zinatumika na kwako. [HASHTAG]#munguwetusote[/HASHTAG]
 
Katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.

Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.

kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake

Wacha vitisho vyako vya kitoto hapa, vijana wa lumumba mnajiona kama nyie ndiyo raia daraja la kwanza, upuuzi mtupu.
 
Huyo hakuwa afisa usalama ni mwigizaji wa bongo movie hebu angalieni filamu za marehemu kinyambe mtamtambua
 
Katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.

Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.

kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Na wasiwasi na wewe yani sidhani kama unajua ulisemalo
 
Je unauhakika ni yeye?. Sasa kutaja jina bila fact, si umemuhatarishia maisha?. Acha kujenga chuki.
Kitenge amejitangaza kwenye facebook
kama ni fahari na kuomba apewe likes. Kwa hivyo hakuna shortage ya ushahidi.
 
Katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.

Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.

kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake

Umejuaje kama yule ni Afisa usalama? maana alipoambiwa atoe kitambulisho akatoa bastola. Kitenge anahitaji tuzo ya heshima kwa kile alichokifanya jana maana bila Kitenge Nape asingeweza kuzungumza na Watanzania tusingeujua ukweli pamoja na elimu aliyotupa vijana kwa siku ya jana
 
nafurahi jinsi mambo yanavyo kwenda tuendelee kutishana kwa mitutu hiyo ya silaha za moto,siku zikiwarudi hawa watawala uchwara tusitafutane uchawi kwasasa nao watanzania tutazoea kuziona ona hizi bastola na smg hatutakimbia tena kama Hamorapa tutzoe milio yake na tutajifunza pia namna yakuzitumia kisawasawa kama wao
 
Katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.

Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.

kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Kuna haja ya kupima afya ya akili kwa wanaojiunga na JF
 
Narudia tena kwa hili la Nape, mawaziri wa CCM kaeni kimya! tena mkae kimya kabisa kama hamna uwezo wa kujiuzulu! ni aibu sana kujifanya mnamuonea huruma mwenzenu wakati leo mtajitokeza kwa wingi wakati wa kuapishwa!!

Mh Mwigulu Nchemba, ujasiri wako na uzalendo wako wa kuvaa skafu na Tai ya bendera ya Tz, ujasiri huu unaishia kwenye twitter pekee?

Mh January ujasiri wako ulioonyesha kwenye inshu ya viroba , uko wapi katika hili?

Mh Mwakyembe, unajisikiaje moyoni kwenda kukaa kwenye kiti cha Nape?

Mawaziri wa CCM, kuna maisha baada ya uwaziri, katika hili kama mimi ningekuwa waziri ningejiuzulu nibaki na ubunge wangu!

Acheni unafiki wa kuumia gizani na kushangilia gizani!!

Mimi ni mtu ninayeichukia CCM kwa moyo wangu wote, kwa akili zangu zote, na kwa nguvu zangu zote, ni kweli nilikasirika sana Nape kupewa wizara ya habari na hata inshu ya bunge live nilichukia sana.... lakini kitendo alichofanyiwa mh Nape, hakika nitawashangaa mawaziri wa CCM wakiendelea kukaa kimya katika hili....
 
Mwakyembe Phd haina kazi anaenda kufanyia kazi Diploma yake ya Habari
Amedhalilisha sana PhD aisee anajifanya amebobea sheria anashindwa kujua hata kama cheti cha kuzaliwa hakihitajiki kwenye ndoa
 
narudia tena kwa hili la Nape, mawaziri wa CCM kaeni kimya! tena mkae kimya kabisa kama hamna uwezo wa kujiuzulu! ni aibu sana kujifanya mnamuonea huruma mwenzenu wakati leo mtajitokeza kwa wingi wakati wa kuapishwa!!

Mh Mwigulu Nchemba, ujasiri wako na uzalendo wako wa kuvaa skafu na Tai ya bendera ya Tz, ujasiri huu unaishia kwenye twitter pekee?

Mh January ujasiri wako ulioonyesha kwenye inshu ya viroba , uko wapi katika hili?

Mh Mwakyembe, unajisikiaje moyoni kwenda kukaa kwenye kiti cha Nape?

mawaziri wa CCM, kuna maisha baada ya uwaziri, katika hili kama mimi ningekuwa waziri ningejiuzulu nibaki na ubunge wangu!

acheni unafiki wa kuumia gizani na kushangilia gizani!!

mimi ni mtu ninayeichukia CCM kwa moyo wangu wote, kwa akili zangu zote, na kwa nguvu zangu zote, ni kweli nilikasirika sana Nape kupewa wizara ya habari na hata inshu ya bunge live nilichukia sana.... lakini kitendo alichofanyiwa mh Nape, hakika nitawashangaa mawaziri wa CCM wakiendelea kukaa kimya katika hili....
Mkuu mimi naichukia ccm mpaka naogopa! Nilisha acha siku nyingi hata kushirikiana na wanalumumba!
 
Tunachokiendeleza ni DRAMA mitandaoni
kila mtu ameona kuwa yule mtu aliyemkabili Nape alitoa silaha na aliendelea kumkabili bila kushirikisha ubongo wake vyema...

Mimi ni MwanaCCM na ninamsapoti sana rais wangu lakini siyo kipofu hata kidogo...

Mateso yakizidi nyumbani lazima ziada ya akili ifanye kazi.
 
Back
Top Bottom