Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

profesa hawezi kuwa na ujasiri wa Nape.Nape ni shujaa.Hajapoteza chochote kwake,maana uwaziri ni dhamana.Anarudi kwenye nafasi yake ya ubunge,kutumikia wananchi wake wa mtama.Ssa Prof.Ndalichako,akitumbuliwa ataenda wapi.LAZIMA awe mdogo jamani atumikie nchi hvyo hvyo kwa kupelekwa na mukulu..
 
sisi tushamsamehe madhambi yake nyie watu wa bashite acheni kufukua makaburi
 
Mkuu kama haukufuata nyendo za Bashite lazima ungekuwa umekutana na haya

Politics is a dirty game
Politics is the art of possible
Politics is who gets what no matter how...

Nway Nape alianza kujielewa Mwishoni naona na Baba yet Mh Lowasa kampa pole... Akomae hizo ndio Siasa
 
Hapo ndo naona unafiki ambao upo kwa kiwango cha lami kabisa.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa hiki nadhani hata Lowasa anaweza kumsamehe ....kwani ninani asiyejua hata kama nape angekuwa CDM JPM angetukanwa ...Tunapaswa tukubaliane izo ni Lugha za kampeni za kiafrika ndizo tulizojitengenezea, misingi yetu yote imelala katika siasa za kudhalilishana kwa hiyo bado kwangu NAPE NAMUONA KAMA SHUJAA .... Ile ilikuwa ni kazi lazima Ilikuwa ifanyike ili JPM aingie ikulu ...sasa umefika wakati wa kuwatumikia watu imebidi awe muungwana na amekuwa muungwana baada ya kuona Mwenye Rungu si muungwana kwasababu dhamira aikuwa hiyo amemua amuonyeshe kuwa hakubaliani naye...
 
Cha ajabu kinyago walikichonga wenyewe saivi kimeanza kuwatisha!!
 
Muwe mnabakiza maneno...msimalize yote maana kila jambo lina wakati wake
 
Kazi gani aliyoifanya kuliko mkuu wa upinzani ndani ya mwaka mmoja?,

Goli la mkono?,
Kuzuia bunge live?
Muswada wa habari?,

Anyway,
Saa hizi ni saa moja na dakika kumi na sita nenda ukamalizie usingizi wako lu........a
 
Huu msemo kama vile kuna mdau aliwahi kuutumia mbunge kama Nape.
Wataalamu wa kilimo wanajua, sio mbengu zote zikifa zinaweza kufufuka tena, nyingine ndio kwa heri baba wa taifa.

Sasa kujiliwaza kwa kushushwa chini kwamba ndio mwanzo wa kuinuka sidhani km ni sahihi kwa mazingira yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…