Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Ficha ujinga wakoNimesahau jinsi ya kubadirisha avatar,nikumbusheni nimtoe huyo kiumbe.
Ameapishwa hawezi kutoa siri za ndaniBao la mkono lililomuingiza JPM madarakani Nape analifahamu vizuri sana na anajua mbinu zilizotumika.. sasa hivi jamaa kawageuka.. nape badae una press conference ndio wakati muhimu wa kutiririka
Anadaiwa TRA?Atabanwa hata sema chochote kile
TRA wakimvimia tu kimya
Aliyekuingia mwambie akutolee, hahahahahahahahahNimesahau jinsi ya kubadirisha avatar,nikumbusheni nimtoe huyo kiumbe.
Itakalika tu.....kama huamini pita barabarani fanya fujo uoneNape akisema ukweli ***** zao nchi haitokalika aisee
Mungu ana mipango yake na hakuna aijuaye ila ... nimefurahi sana na ninaendelea kushangilia ...Bao la mkono lililomuingiza JPM madarakani Nape analifahamu vizuri sana na anajua mbinu zilizotumika.. sasa hivi jamaa kawageuka.. nape badae una press conference ndio wakati muhimu wa kutiririka
Hatatoa yeye bali anawaapisha wengine kwamba akiwambia wasiseme kuwa wameambiwa na yeye!Ameapishwa hawezi kutoa siri za ndani
habari za leo? kwema?Hatatoa yeye bali anawaapisha wengine kwamba akiwambia wasiseme kuwa wameambiwa na yeye!