Bado unataka na Nape akuambie..Lowassa na Sumaye walipokuambia ulichukua hatua gani..inaelekea udaku kwako ni shibe, ngoja akuletee ushibe X3Bao la mkono lililomuingiza JPM madarakani Nape analifahamu vizuri sana na anajua mbinu zilizotumika. Sasa hivi jamaa kawageuka. Nape badae una press conference ndio wakati muhimu wa kutiririka.