Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Kwema kabisa wangu!habari za leo? kwema?
Kwema kabisa wangu!habari za leo? kwema?
ahsanteeeKwema kabisa wangu!
Muache ache kidogo[emoji28][emoji28][emoji28]Nimesahau jinsi ya kubadirisha avatar,nikumbusheni nimtoe huyo kiumbe.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Itakalika tu.....kama huamini pita barabarani fanya fujo uone
aisee mwosha huoshwaBao la mkono lililomuingiza JPM madarakani Nape analifahamu vizuri sana na anajua mbinu zilizotumika. Sasa hivi jamaa kawageuka. Nape badae una press conference ndio wakati muhimu wa kutiririka.
KARMA at work..!aisee mwosha huoshwa
nani alikutuma umweke? utajiju...Nimesahau jinsi ya kubadirisha avatar,nikumbusheni nimtoe huyo kiumbe.
Tumbukiza simu kwenye majiNimesahau jinsi ya kubadirisha avatar,nikumbusheni nimtoe huyo kiumbe.
Bao la mkono lililomuingiza JPM madarakani Nape analifahamu vizuri sana na anajua mbinu zilizotumika. Sasa hivi jamaa kawageuka. Nape badae una press conference ndio wakati muhimu wa kutiririka.