Nape tuambie mbinu mlizotumia kuiba kura 2015

Bao la mkono lililomuingiza JPM madarakani Nape analifahamu vizuri sana na anajua mbinu zilizotumika. Sasa hivi jamaa kawageuka. Nape badae una press conference ndio wakati muhimu wa kutiririka.
Bado unataka na Nape akuambie..Lowassa na Sumaye walipokuambia ulichukua hatua gani..inaelekea udaku kwako ni shibe, ngoja akuletee ushibe X3
 
Ni kweli kabisa Nape aseme namna walivyoiba kura na kutunyima ushindi wetu,kwani hakika Dunia inajua wazi shahiri Magufuli hakushinda kwa kura zaidi ya bao la mkono na biashara ilikwisha mapema sana.
Na hili linathibitika sasa kwani viatu hivi vinampwaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…