Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali kamuulize Nape Nnauye , maana yeye ndo kayatamka hayo.... Ingawa atakana siku si nyingi...Kwa hiyo hata Jaji Bomani aliyekiri kupendelea serikali tatu hana akili timamu?
Source Uhuru 05/08/2013
Kauli tata za Nape Mnauye kama nilivyomnukuu katika gazeti la Uhuru kwa kauli za kejeli na matusi kwa kusema kuwa wanapenda serikali mbili ndio wenye akili timamu, kwa maana nyingine jaji Warioba na wananchi waliopendekeza ni mamburura.
Aliyasema hayo katika ukumbi wa BOT katika semina ya vijana wa CCM na akadai CCM inajiandaa kimkakati kuhakikisha serikali tatu inaondolewa katika katiba mpya. Na akahoji kama CHADEMA watasusia hawana faida kwani hata bajeti hawakuwepo na ikapita na hata kwenye katiba wasipo kuwepo wataipitisha
Hamna Muungano wa serikali mbili. Hapa swala ni kama ni muungano IBAKI SERIKALI MOJA kama ni shirikisho serikali ni TATU.Watuonyeshe Tanganyika inafia wapi na watupe sababu za kuiua na kwanini ?mbona isiwe Tanganyika na Tanzania ?why Tanzania na Zanzibar ?Nchi kubwa inakufa inabaki kisiwa ambao wakazi wake wanakaribia kufikia wakazi wa mbagala ?
Labda kama wanatafuta vyeo kwenye urasimu wa serikali 2 maana kuna kubebana sawa kama ni kwa ustawi wa muungano ni serikali moja tu ama liwe shirikisho la serikali 3.
Ngoja aje akanushe hapa na kudai kwamba wamemnukuu vibaya.!
watanga tanaga na msitu si mlituona mapimbi sisi wazanzibari.. sasa mnayaona na kuyajadili... ndo maana sisi tulibakia na nyinyi mkajitia kitanzi licha ya udogo wetu wa ardhibali sisi tupo na ukubwa wa maarifa na kufikiri. tulianzisha sisi mchakato mkatuona wachizi saa nani yupo nao kwenye majukwaa kila kona ya nyika huu mchakato wa muungano?.. yeahhhhh tutaendelea kuwaongoza ipo day mtafaham.. zenj kwanza starrr....Hamna Muungano wa serikali mbili. Hapa swala ni kama ni muungano IBAKI SERIKALI MOJA kama ni shirikisho serikali ni TATU.Watuonyeshe Tanganyika inafia wapi na watupe sababu za kuiua na kwanini ?mbona isiwe Tanganyika na Tanzania ?why Tanzania na Zanzibar ?Nchi kubwa inakufa inabaki kisiwa ambao wakazi wake wanakaribia kufikia wakazi wa mbagala ?
Labda kama wanatafuta vyeo kwenye urasimu wa serikali 2 maana kuna kubebana sawa kama ni kwa ustawi wa muungano ni serikali moja tu ama liwe shirikisho la serikali 3.
Huyu mtu ni vigumu kuamini kama anaubongo kichwani. Waliomwamini katika nafasi hiyo nyeti ndani ya chama nao watakuwa na matatizo makubwa ya akili.