Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

Here kama hafanyi hiyo biashara Jana thamani ya waziri kauacha binge na kuhudhuri uzinduzi wa application ya mkaa uchi.kama tungehalalisha biashara ya ngono ingekuwa sahihi kwa Mr waziri kuhudhuri si angekua analipa kodi
 
Kwenye huu uzi utawahurumia sana vijana wa upinzani,

Ni wako kama antena!
 
Chakula chao k iki wakati wa kampeni sasa cjui watakula nn 202o
 
Jamani tuache utani, nilipo ona hii picha ya bi mkubwa nikazani ni ya mchizi(bolo yeung) , nisahihisheni kama nakosea
 

Attachments

  • TMPDOODLE1490562357359.jpg
    32 KB · Views: 38
  • 969819_1286026.jpg
    9.4 KB · Views: 43
Nilicheka sana siku hii app ya kijinga kabisa ilivyozinduliwa.
 
Tatizo wakubwa wameshika mpini na hao unao waita wapinzani wameshika makiri unategemea nn hapo km sio kukata vipande vya mshikaki.
 
Hahahhaha duh Shikamoo Magufuli aki kufikia 2020 Upinzani watakua wamechoka sanaa maana hizi round turn wanazopiga si mchezo.... Leo mtu anakua wa ovyoo kesho shujaa.... leo msaliti kesho shujaa duh mmetisha...
 
Ndugu yangu, ni waziri huyu huyu ambaye ana madaraka ya kuweza kuamka asubuhi bila kushauriana na yeyote akakifunga kituo cha redio au gazeti kwa muda anaotaka yeye hata kama kimeajiri watu elfu na kinalipa kodi vizuri!
Replying on myself ...kuna haja ya kuwascreen hawa 'mamluki' labla ya kuwapa makazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…