Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

Hawa mabinti wa kagera kwann watu wa mikoa mingine hawawakubali hususani kwenye swala la ndoa Yan wakisikia unaoa muhaya lazima washtuke kdgo Kuna tatzo gan uko kagera??
Ni sawa mtu akisikia umeoa wale wanaokusaodia kuzipata hela afu unaziachia wao
 
Nimezaa na binti wa kihaya ni msumbufu Sana Hana adabu ata chembe hajui ata maana ya mama mkwe ni nini kiukwel cna malengo nae yeyot Kuna mda tu naisubil ufike Kila mtu ashike hamsini zake
Tatizo mtoto wa Mama kwa staili hiyo kutoboa ni ngumu
 
Nimefika Missenyi salama
 
Kuna baadhi ya makabila huwa inashauriwa waachwe waoane wenyewe kwa wenyewe ukijichanganya wewe mtu Baki basi ujiandae kukabiliana na yote yatakayokuja kujitokeza.

Including hao jamaa!
 
Brother...kama umemwelewa nenda kamalize hesabu. Ukiskiliza sana ya watu utashindwa kufanya yako
 
Kwan mleta mada amekwambia kwao ni wapi? pengine ni Kagera hukohuko au hata kijiji kilekile anakopeleka mahari.
 
badala uoe kwenu uwape wanawake wa kwenu motisha unaenda saidia kwa wasiokujua achilia mbali kukuhitaji?

akili au matope haya?

na usiniletee blah blah za "nimependa" nonsense
Mkuu umeongea bonge la point, sikutegemea kama ungeupiga mwingi katika hili. "Badala uoe kwenu..."
 
Nimezaa na binti wa kihaya ni msumbufu Sana Hana adabu ata chembe hajui ata maana ya mama mkwe ni nini kiukwel cna malengo nae yeyot Kuna mda tu naisubil ufike Kila mtu ashike hamsini zake
Pole Sana George Barran Mabinti wenye tabia mbovu wapo kila mahali hata kwa Wabena.
 
karibu nyumban shemejii achana na hawa wapiga ngonjera hakika umejua kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…