Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

Ninezaa na mhaya pia , nimemtwlwkwza yy na mtoto wake sababu ya makelele, ni wa misenyi pia. Nishaambiwa na mtoto amekufa na baadae baada ya mwezi akafufuka anaomba matumizi ya mtoto
Doh pole sana. Mi nashukuru Mungu wangu hana zile mambo na tabia zakihaya kabisa kama mzungu vile mpaka najisemea nhiii! Huyu muhaya wawapi doh!
 
Nimezaa na binti wa kihaya ni msumbufu Sana Hana adabu ata chembe hajui ata maana ya mama mkwe ni nini kiukwel cna malengo nae yeyot Kuna mda tu naisubil ufike Kila mtu ashike hamsini zake
Tafuta pesa timiza majukumu yako uone kama heshima haikuji
 
Ninezaa na mhaya pia , nimemtwlwkwza yy na mtoto wake sababu ya makelele, ni wa misenyi pia. Nishaambiwa na mtoto amekufa na baadae baada ya mwezi akafufuka anaomba matumizi ya mtoto
Kuna watu hawataki kuelewa mkuu, ukieleza hizo changamoto za hao watu wanakwambia tafuta pesa
 
𝐊𝐚𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐊𝐚𝐠𝐞𝐫𝐚, 𝐦𝐦𝐦𝐦𝐡, 𝐧𝐢 𝐬𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐥𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐮𝐛𝐢𝐫𝐢 𝐦𝐝𝐚 𝐮𝐨𝐧𝐠𝐞𝐞 𝐢𝐥𝐚 𝐡𝐢𝐳𝐨 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐧𝐢𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐮𝐧𝐠𝐞𝐳𝐢𝐰𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐤𝐢𝐥𝐢𝐦𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐢𝐤𝐢𝐭𝐢 𝐡𝐮𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐝𝐚 𝐮𝐧𝐠𝐞𝐯𝐮𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐨𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐮𝐤𝐚𝐰𝐚 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐬𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐭𝐮
 
𝐊𝐚𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐊𝐚𝐠𝐞𝐫𝐚, 𝐦𝐦𝐦𝐦𝐡, 𝐧𝐢 𝐬𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐥𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐮𝐛𝐢𝐫𝐢 𝐦𝐝𝐚 𝐮𝐨𝐧𝐠𝐞𝐞 𝐢𝐥𝐚 𝐡𝐢𝐳𝐨 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐧𝐢𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐮𝐧𝐠𝐞𝐳𝐢𝐰𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐤𝐢𝐥𝐢𝐦𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐢𝐤𝐢𝐭𝐢 𝐡𝐮𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐝𝐚 𝐮𝐧𝐠𝐞𝐯𝐮𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐨𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐮𝐤𝐚𝐰𝐚 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐬𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐭𝐮
[emoji16][emoji16] tuliogonga mwamba huko tunawaambia ila jamaa wabishi sana.Sasa sisi kama mabahari tuliokiona cha moto kutoka kwa madada wa huko uhayani tunasema,"Mtoto akililia nyembe mpe".
 
[emoji16][emoji16] tuliogonga mwamba huko tunawaambia ila jamaa wabishi sana.Sasa sisi kama mabahari tuliokiona cha moto kutoka kwa madada wa huko uhayani tunasema,"Mtoto akililia nyembe mpe".
Kausha kila mtu apambane na hali yake
 
Uhayani ukimpata anayemjua Mungu utaenjoy,lakini pia hawapendi shida ila wanaakili ya kumake life,huwezi kukaa na binti wa kihaya 5 years hamjajenga nyumba ya kuishi vinginevyo mtagombana bure,baada ya nyumba gari hufuatia
 
Back
Top Bottom