Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

Hawa mabinti wa kagera kwann watu wa mikoa mingine hawawakubali hususani kwenye swala la ndoa Yan wakisikia unaoa muhaya lazima washtuke kdgo Kuna tatzo gan uko kagera??
uoni tu hilo ndeno MUHAYA ukibadilisha herufi mbili tu unapata neno baya?
 
Nimepata mchumba toka Missenyi, Kagera. Na kesho naanza safari kuelekea huko. Maombi yenu! Japo Shemeji zangu inaonekana Mashauzi Sana. Napewa yote
Waambie wakwe waboreshe stand Yao ya mabasi iwe kama Dubai.. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom