Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

Mahari imepokelewa Jana. Leo Ni vyombo mwanzo-mwisho. Ila Wahaya wakatimi sana
 
Nimezaa na binti wa kihaya ni msumbufu Sana Hana adabu ata chembe hajui ata maana ya mama mkwe ni nini kiukwel cna malengo nae yeyot Kuna mda tu naisubil ufike Kila mtu ashike hamsini zake
Sasa hapo nani Hana heshima? Wewe au yeye? Jichunguze Hadi unazaa na mtu Hana heshima ni dhahiri wewe ni zaidi
 
Yaan mbabe anataka aniendeshe anapiga anutime ukimwambia nipo sehem mbaya ugomvi
 
Yaniii nishakumiss hapa!! Upole wako huo wote unahamia kuleee wooooooiiiii! Hakuna kuomba poooh hahah!! Wabarikiwe sana walioanzisha kupigapiga ile kitu[emoji2960][emoji2960][emoji12]!
kyonka iwe......[emoji39][emoji39]
 
Yaniii nishakumiss hapa!! Upole wako huo wote unahamia kuleee wooooooiiiii! Hakuna kuomba poooh hahah!! Wabarikiwe sana walioanzisha kupigapiga ile kitu[emoji2960][emoji2960][emoji12]!
Lekelela ahaa iwe mwisiki. Nokola katutambuka ebintu byemeleile nibichwa obuchwanta.
 
Nenda kaoe kama umejiridhisha anakufaaa...kwa ulimwengu wa sasa ukabila hauna nafasi kwenye kumfanya mtu awe bora,mtoto anasoma boarding from Pre mpk chuo ,unategemea hapo ukabila unanafasi?oa yule unayeona anakufaa.

Pia nikupongeze kwa kupangua hoja za waliokua wanakukatisha tamaa,kama mtu alipata wasioendana wakashindwana hiyo haina maana kwako itakua hivyo,wako mabinti wazuri wa kihaya wametulia na ni wapambanaji kimaisha.
 
Hongera mkuu. Kama huyo demu wako jina lake linaanzia na A, anafanya kazi Dom na ana mtoto file lake ninalo, hongera.
File[emoji3480][emoji44][emoji44]
JamiiForums-73321413.jpg
 
Back
Top Bottom