connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Safi Sana kijana uache uhuni. Mpende mkeo kwa dhatiNimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica.
Ha ha ha
Asije kua demu wangu wa zamani tu...hapo masandare mademu tumewala sanaa tulio soma same secNimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica.
Mmh wanafunzi mlienda kusoma au kutafuta mademu?Asije kua demu wangu wa zamani tu...hapo masandare mademu tumewala sanaa tulio soma same sec
Hongera kwa kupeleka mahari upareni mkuu,,Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica.
Siyo wako tena,wenye Kisu kikali ndiyo wamesha chukua Nyama yako!!Asije kua demu wangu wa zamani tu...hapo masandare mademu tumewala sanaa tulio soma same sec
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica.
Labda Maombi ya mahari apate punguzo huko upareni. Ila kiukweli wapare Wana vitabia flan amazing (kwa Leo wacha nimezee) nisije kukuharibia mood kwenye hiyo sherehe.Maombi ya nini tena?
Kweli. Harusi nyingi jijini mabibi harusi toka Uchagani. Sijajua sababu n nnWeka namba ya mchango wa harusi tuchange. Maana Dada zetu Wapare kuolewa kwa nadra sana. Kila harusi utasikia muolewaji Mchaga why? Mamlaka ziingilie hili suala. Haiwezekani ukitembelea kumbi zote kubwa jijini bi harusi Mchaga.