Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Uzi kama huu ulifutwa baada ya watu hasa mm kufunguka kuhusu masaibu ya baadhi ya hawa watu,naona umeuleta kivingine ila sitachangia chochote kwa kwa sababu huwa nikisikia au kuona jambo lolote kuhusu hawa watu najisikia vibaya sana kwa niliyotendwa.
Lkn ukute walio wabaya ni wachache,labda wengi wao ni wazuri.
 
Mfikishe mke wetu salama mkuu tunaomba sana dua,mengine tutasaidiana akifika.
Amen
 
Wakuu Nimefika Masandare Ni kijiji tulivu kabisa japo Kuna ukame Sana. Sasa Kilichonishangaza nilidaiwa hela ya kugharamia sherehe ya Leo nikatuma 2m Tsh. Kwa M-PESA wiki iliyopita. Sasa hapa Nashangaa msosi wanatuletea Makande na kinywaji Azam Cola. Daah! Ndugu zangu niliongozana nao wanasitika Sana. Mshenga kaniita chemba kuwa nisipaniki Wala kuleta vurugu ukweni.
 
Wakuu Nimefika Masandare Ni kijiji tulivu kabisa japo Kuna ukame Sana. Sasa Kilichonishangaza nilidaiwa hela ya kugharamia sherehe ya Leo nikatuma 2m Tsh. Kwa M-PESA will iliyopita. Sasa hapa Nashangaa msosi wanatuletea Makande. Daah! Ndugu zangu niliongozana nao wanasitika Sana. Nshenga kaniita chemba kuwa nisipaniki Wala kuleta vurugu ukweni.
Shukuru hata umepewa Makande,beba Mke wako sepa mkaanze Maisha halisi ya Ndoa!!
 
Wakuu Nimefika Masandare Ni kijiji tulivu kabisa japo Kuna ukame Sana. Sasa Kilichonishangaza nilidaiwa hela ya kugharamia sherehe ya Leo nikatuma 2m Tsh. Kwa M-PESA will iliyopita. Sasa hapa Nashangaa msosi wanatuletea Makande. Daah! Ndugu zangu niliongozana nao wanasitika Sana. Nshenga kaniita chemba kuwa nisipaniki Wala kuleta vurugu ukweni.
Acha uduanzi beba mke sepa ukamlee kwa maadili yako, same makande ni Kama pilau pwani.
Nimekupongeza umepata mke kutoka masandare elewa huyu ni chuma kweli hata siku hunahela mnaweza kula ugali na maji kapambane mtengeneze maisha yenu hayo ulioyaona ndio maisha aliyokulia
 
Mkuu iweje nitoe 2m nilishwe Makande na Azam Cola?. Nataka maelezo ya kutosha vinginevyo huyu binti Yao atashuhudia Vumbi tu
 
Back
Top Bottom