Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica.
Kila la kheri ila mimi nakutakia ndoa njema tu. Tarajia 1. Uchawi 2. Uchoyo na 3 limesemwa sana humu la kutombewa na pia uwe tayari kusengenywa maana hao wambea mfano hakuna.
 
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica.
Kama umekamatika ni sawa kalipe mahari.ila tofauti na hapo umekwisha kijana.

Note;vijana tupunguze tamaa kwenye mahusiano mwisho wake mbaya
 
Back
Top Bottom