Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hio inaitwa Pu-Re hahahah main dish ya upareni😂😂🤣Wakuu Nimefika Masandare Ni kijiji tulivu kabisa japo Kuna ukame Sana. Sasa Kilichonishangaza nilidaiwa hela ya kugharamia sherehe ya Leo nikatuma 2m Tsh. Kwa M-PESA wiki iliyopita. Sasa hapa Nashangaa msosi wanatuletea Makande na kinywaji Azam Cola. Daah! Ndugu zangu niliongozana nao wanasitika Sana. Mshenga kaniita chemba kuwa nisipaniki Wala kuleta vurugu ukweni.