Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Baadae akihangamia hamtakuwepo mtakuwa kwenye ndoa zenu mnakula raha ,baadae akileta Uzi wa matatizo ya ndoa yake wengine mtaishia kucheka
Mi wapare nawajua in and out Bora kuwa real kusema ukweli hata kama kita offend mtu kuliko kuwa mnafiki
Mi wapare nawajua in and out Bora kuwa real kusema ukweli hata kama kita offend mtu kuliko kuwa mnafiki
Wewe Ni mtu hasi umetawaliwa na negativity TU.