Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Mie wapare ni ndugu zangu kabisa na nimekaa huko, so nawajua tabia zao...ingawa kuna wengine safi sana yaani ukiambia huyu mpare una kataa.Nikiwemo mimi, demu wa kipare tu simtaki achilia mke! Wa kwanza from Himo alinifanya vibaya mno.
Wa pili from Ugweno alianza kuwa controlling nikakimbia chap, sikutaka shida wala.😂😂😂
Kuhusu Warombo ni sawa, huwa wengi ni loyal wives and ride or die! Hapo sibishi.