cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Nyie mmezidi Kuna mmoja kaolewa kahamishia ukoo kwa mumewe na hivi huko mnajua madawa ya libwata hatari SanaTuachie dada zetu waolewe bwana, hiyo ya kuhamia kwa sasa haina kabila. Hata "huko kwenu" wanahamia kwa dada zao ni balaa. Au unasemaje bi Cariha!