Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Huwa siwaamini kufanya nao project ya aina yoyote iwe ya kufyatua watoto au hata za kibiashara siwaamini.
Ni watu fulani makauzu sana unaweza kufikiri wote wanavuta bangi,wewe imagine mtu ametoa milioni 2 halafu wanapika makande na hawajishtukii kabisa wamekausha tu.
🤣 🤣 watu wa mjini mna matatizo sana ulikuwa unasubiria chips yai na soda?
 
Uzi kama huu ulifutwa baada ya watu hasa mm kufunguka kuhusu masaibu ya baadhi ya hawa watu,naona umeuleta kivingine ila sitachangia chochote kwa kwa sababu huwa nikisikia au kuona jambo lolote kuhusu hawa watu najisikia vibaya sana kwa niliyotendwa.
Kaka nakuomba ueleze. Kama utashindwa kuelezea hapa basi njoo hata PM. Utakuwa umetusaidia sana vijana ambao bado hatujaoa.
 
Back
Top Bottom