Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwanaume wa wapiNimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato.
Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli.
UPDATE:
Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya kupokea mahari tumefika huku tunatishwa Makande. Disgusting
View attachment 1588961
Eehbeba makande,utakuja kunishukuru
Mkuu connections wewe umekuja kuwandhalilisha dada zetu tu, huna lolote na wala sio muoaji.
Chief Vero mbona namuoa mwezi wa 11 mwishoniMkuu connections wewe umekuja kuwandhalilisha dada zetu tu, huna lolote na wala sio muoaji.
Ni kweli, kuanzia Ugweno, Usangi, Same...kote huko huwa hawahitaji usumbufu kabisa.Wanawake wa kipare sio wachoyo kabisa mkuu..
makande ni desturiNimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato.
Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli.
UPDATE:
Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya kupokea mahari tumefika huku tunatishwa Makande. Disgusting
View attachment 1588961
Wabahili sana
Ahvache, eti makandeMkuu connections wewe umekuja kuwandhalilisha dada zetu tu, huna lolote na wala sio muoaji.
Mlango wa nane unamaanisha ukiwa nae upatikanaji wa ridhiki huwa mgumu sana?Wanasema wapare wakike wengi mlango wa nane
Je umelifanyia kazi hili
Mchaga anabongaWeka namba ya mchango wa harusi tuchange. Maana Dada zetu Wapare kuolewa kwa nadra sana. Kila harusi utasikia muolewaji Mchaga why? Mamlaka ziingilie hili suala. Haiwezekani ukitembelea kumbi zote kubwa jijini bi harusi Mchaga.