Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Nimejaribu kupitia baadhi ya comment na baadhi ya watu wanapinga generalization ya tabia kwendana na kabila kwamba si sahihi,
- Science inaamin katika generalization ya matokeo ikiwa sample iliyotumika ni sufficient. Mf kama sample ina watu 10 katika eneo A,na 8 miongoni ni malaya-Manake tutaamini jamii A ni malaya sana kutokanana na kwamba 80% ya jamii A wanajihusisha ni vitendo hvyo.
Points to note.
Kuna vitu pia nchi nzima ime generalize na kiuhalisia havipingiki Mf.
*Nchi nzima inaamin jamii ya wachagga au Mangi ni watafutaji wazuri wa pesa.
*Pia nchi inakubaliana pasina shaka kwamba wahehe huwa wanajinyonga sana wakiudhiwa

Then kwann wapare wakiwa generalized ni wahuni na wabahili inakuwa issue? Binafsi mpare,mkamba,wanyiramba it's a big no kwenye mahusiano.
*Fanya tafiti ndogo tu-Wapare huwa wanapenda kuoana na wasambaa.
 
Sababu wanawake wa kichaga ni wife material, wapambaji. Pamoja na kupondwa sana sijui hawana chura, wauaji, wanapenda pesa lakini bado wanaolewa mno.
Nilichogundua ni kwamba wanaume wengi hufurahishwa na wanawake pasua kichwa.
Sure. Niliwahi kudate mwanamke too Tanga Mdigo aisee japo mzuri lakini day 1 akanipiga zinga la Tsh. 100,000/= madai ana mgonjwa,. Kukaa kama siku 3 anaomba 40,000 eti anadaiwa VICOBA
 
Nimejaribu kupitia baadhi ya comment na baadhi ya watu wanapinga generalization ya tabia kwendana na kabila kwamba si sahihi,
- Science inaamin katika generalization ya matokeo ikiwa sample iliyotumika ni sufficient. Mf kama sample ina watu 10 katika eneo A,na 8 miongoni ni malaya-Manake tutaamini jamii A ni malaya sana kutokanana na kwamba 80% ya jamii A wanajihusisha ni vitendo hvyo.
Points to note.
Kuna vitu pia nchi nzima ime generalize na kiuhalisia havipingiki Mf.
*Nchi nzima inaamin jamii ya wachagga au Mangi ni watafutaji wazuri wa pesa.
*Pia nchi inakubaliana pasina shaka kwamba wahehe huwa wanajinyonga sana wakiudhiwa

Then kwann wapare wakiwa generalized ni wahuni na wabahili inakuwa issue? Binafsi mpare,mkamba,wanyiramba it's a big no kwenye mahusiano.
*Fanya tafiti ndogo tu-Wapare huwa wanapenda kuoana na wasambaa.
Hiyo combination ya Mpare na Msambaa itazalisha BOMU la Umalaya Extra Supermax
 
Back
Top Bottom