Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Yaani 2mil kwasababu ya mbunye tu.
Dah sasa hela zote hizo unapoteza kisa kutaka kumiliki mbuny*?


#YNWA
 
Safi sana Bw shemeji!!umepata mke!dada zangu wa kipare hawana shida!tunasema "tehena mburi avae"
 
Wanawake wa kipare wamepewa sura murua, wazungu wanasema "easy on the eyes"
Ila buana miguu kama chelewa
Halaf wana roho mbaya na ubinafsi mwingi
Hivi kuna tofauti gani kati ya wapare na wagweno? Nilishawahi kua na mgweno, ni mzuri kinoma, mpole, mtu wa ibada halafu alikua ana mapenzi ya dhati sijawahi kuambiwa wala kuhisi anachepuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…