Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Nasikia pisi za kipare huwa nyingi zimekeketwa,, hili limekaaje wajuvi
 
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato.

Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli.

UPDATE:
Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya kupokea mahari tumefika huku tunatishwa Makande. Disgusting

View attachment 1588961
Nani alikuchefua huko ukweni, mbona umetapika kwenye sahani? Ila una moyo aisee, unaoa demu la Kipare, mhhhhh. Anyways pole kwa kurogwa na kulishwa mavuzi na kinyesi ili usahau kwenu na kuwa ndondocha wa demu na shangazi zake.
 
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato.

Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli.

UPDATE:
Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya kupokea mahari tumefika huku tunatishwa Makande. Disgusting

View attachment 1588961
Habari mkuu, vipi ulishaoa au bado?? Maana nilikuombea.
 
Back
Top Bottom