Napenda dem mhuni

Napenda dem mhuni

asee dingilai kwanza kapate mashingibee coz inaonekana uko ubao.
 
Nacheka kama yanachekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiangalia you might find the guy is under 25, still at home with parents, can't make even 10k a day, smoking weeds to him is a big deal and he has no fuc.king future.
 
I love bad bitches got my f***cking problem.


#Muungwana_John
 
kisanga ka ya ela ote iviii baada ya kumsorora na manamba ya tin'gilin'gilii ikawa'aje?
asee areef ukimkosa uyo mamiloo ni dhambi kilo10 bablay
 
kisanga ka ya ela ote iviii baada ya kumsorora na manamba ya tin'gilin'gilii ikawa'aje?
asee areef ukimkosa uyo mamiloo ni dhambi kilo10 bablay
Aikatai aikatox ariff,Nishadownload Ma'contact kilichobaki ni kuvuta ng'ora tu nimchukue maelezo kwa fas duas chaliloo.
 
Dunia nzima inakuomba upunguze ujinga lakini haiwezekani kwakua upo spidi ya juu na unaelekea kupokea tuzo
images(4).jpeg
 
Write your reply...chaliakee naisi hiyo ni nguvu ya ganja plantae..... though si vibaya kupenda manzi mhuni simply days back I did the same......
 
Habarini zenu wakuu,hopeful mko vizuri,,Naam nimekua na tabia ya kuwaelewa kinyama ma'manzi ambao ni ma gangstar,wahuni,,Leo On ma way road to Sinoni daraja bee fas ya chuganian kwa chalii angu mmoko ambae sijamuona siku mingi joh tangia enzi za oldskul pale Arusha sec.picha linaanza kipande icho inao mamiloo ziko mingi laana,zinaji-download,zinaji-format tu zenyewe ila zinapenda para la moto laana,ila izi soft sinaga njaro nazo,napendaga zile gangstar,,so zinahitaji mauzimbambe yakushato ya ela ote dingide,,Nikiwa nasololoa mokomoko by ngoko road nakutana na mamiloo iyo imevaa pensi imevuka magoti,kichwani ina busholi na vest flani ivi oversize imeandikwa Arusha girl apo kifuani,,nikasema yeahp!Mungu anipe nini gunia la chawa nijikune ucku kucha!?Nikampiga stop kisha nikamuomba izo ma'contact apo fiade,akanipa uku chaliako nikiwa na ujasiri utafikiri nna bangaloo mfukoni kumbe walaaa!!Kisha nikapita ivi,,Kiukweli nimemwelewa sana uyu mamsi kutokana na uhuni wake,Sio huyu tu kuna mamanzi shazi ambao nishawapenda kutokana na uhuni wao,,yaani nikiona mamiloo ana smoke weed(kush)anavaa kaptula,vest,Mabusholi,ana mitatoo ndo naona mambo ni ente yaani full kinyulaa ariff,,asa najiuliza nna tatizo gani wakuu??Mnaruhusiwa kunishauri pia huenda nimerogwa ingawa sio kirahisi na kindezi design iyo asee..!!


@ChaliiYaKijengeJuu.
Lembeli karudi CCM
 
Umeshapiga chaArusha tayar [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom