Napenda haya majina

Napenda haya majina

Habari JF....

Asee nataka tu niwashirikishe majina ninayoyapenda....

Yani haya majina haipiti siku sijayataja hata kimoyomoyo...

Yako unique aseee...

1.Nangwana sijaona

2.Ubena Zomozi

3.Chachu Ombara,hili jina nimeliona humu JF juzi juzi ktk pita pita zangu..

4.Simbachawene

Hata sijui kwann nayapenda...

We unapenda majina gani???
Scorpion me[emoji86] [emoji86]
 
"Unataka niseme nakupenda wewe?"-JPM
 
Asee Mkuu yale mauchawi yenu na Mshana mimi siyaogopi. Nitakubutua Mkuu. scorpio me ni mke wangu na hakika usijaribu kummemndea.
Kuna jamaa mfanyambwembwe mmoja alikuja Kwetu, akasema ana uwezo wa kumgeuza MTU kuwa panya. Kweli akaweza, jichawi naye akajigeuza kuwa paka.... akammeza yule panya......
Mfanyambwembwe mpaka Saa hizi hajielewi kama yuko duniani ama ahera
 
mwamvua anaogopa familia yake itaanikwa
Ndo ivyo usimchokoze chizi atakuvua Nguo! Tayari ameshaanza kuwapa umaarufu watu wa kwao kwa upumbavu wake, yeye hakua na haja ya kubishana na chizi Mange ambaye maisha yake yoote yapo hadharani haya sasa yake yamefichuliwa ni aibu kwa kweli
 
Ndo ivyo usimchokoze chizi atakuvua Nguo! Tayari ameshaanza kuwapa umaarufu watu wa kwao kwa upumbavu wake, yeye hakua na haja ya kubishana na chizi Mangu ambaye maisha yake yoote yapo hadharani haya sasa yake yamefichuliwa ni aibu kwa kweli
ni kweli
 
Back
Top Bottom