Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
-
- #21
[emoji23] utakua mange weweMimi napenda Kina Mwamvua woote wanaojiita Milly wawapo mjini
hana meno haweziWewe cheka ung'atwe
Scorpion me[emoji86] [emoji86]Habari JF....
Asee nataka tu niwashirikishe majina ninayoyapenda....
Yani haya majina haipiti siku sijayataja hata kimoyomoyo...
Yako unique aseee...
1.Nangwana sijaona
2.Ubena Zomozi
3.Chachu Ombara,hili jina nimeliona humu JF juzi juzi ktk pita pita zangu..
4.Simbachawene
Hata sijui kwann nayapenda...
We unapenda majina gani???
huyo atakua mwingine yangu haina nScorpion me[emoji86] [emoji86]
OK. Nilidhani ni Mke wa PUNDA. Kama ni Mke wa MTU basi ni Mke wanguMkuu Bujibuji jiangalie Mkuu. Huyu mke wa Mtu.
Asee Mkuu yale mauchawi yenu na Mshana mimi siyaogopi. Nitakubutua Mkuu. scorpio me ni mke wangu na hakika usijaribu kummemndea.OK. Nilidhani ni Mke wa PUNDA. Kama ni Mke wa MTU basi ni Mke wangu
Na wewe mzigo usikubali kuburuzwa tu hata kama abiria wako asipokuwepo ujichunge mwenyewe.abiria chunga mzigo wako
Na wewe mzigo usikubali kuburuzwa tu hata kama abiria wako asipokuwepo ujichunge mwenyewe.
OK. Nilidhani ni Mke wa PUNDA. Kama ni Mke wa MTU basi ni Mke wangu
Kuna jamaa mfanyambwembwe mmoja alikuja Kwetu, akasema ana uwezo wa kumgeuza MTU kuwa panya. Kweli akaweza, jichawi naye akajigeuza kuwa paka.... akammeza yule panya......Asee Mkuu yale mauchawi yenu na Mshana mimi siyaogopi. Nitakubutua Mkuu. scorpio me ni mke wangu na hakika usijaribu kummemndea.
Mange kammaliza Mwamvua kimyaa hahahaa[emoji23] utakua mange wewe
mwamvua anaogopa familia yake itaanikwaMange kammaliza Mwamvua kimyaa hahahaa
Ndo ivyo usimchokoze chizi atakuvua Nguo! Tayari ameshaanza kuwapa umaarufu watu wa kwao kwa upumbavu wake, yeye hakua na haja ya kubishana na chizi Mange ambaye maisha yake yoote yapo hadharani haya sasa yake yamefichuliwa ni aibu kwa kwelimwamvua anaogopa familia yake itaanikwa
ni kweliNdo ivyo usimchokoze chizi atakuvua Nguo! Tayari ameshaanza kuwapa umaarufu watu wa kwao kwa upumbavu wake, yeye hakua na haja ya kubishana na chizi Mangu ambaye maisha yake yoote yapo hadharani haya sasa yake yamefichuliwa ni aibu kwa kweli