Napenda kila mwanamke anayekatiza mbele yangu

Napenda kila mwanamke anayekatiza mbele yangu

Tatizo unalo tena una tatizo kubwa zaidi kuliko unavyofikiria..!! Tatizo lenyewe huna hela,kama huna tatizo la kiafya,tafuta hela kila unayemtamani utamgonga hiyo nakuhakikishia!!
 
napenda wanawake wote ninao waona napenda nifanye mapenzi nao. Tatizo ni nini?
Hilo ni pepo la ngono kabisa.
Limekujaza roho ya tamaa nzito kwa wanawake wa kila aina.

Unatakiwa uishinde kabisa! Maana itakupeleka kubaya mno.

Tafuta hata mwanamke mmoja uwe naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom