nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,056
Huna tatizo kabisa tena kemea hilo pepo kichwani linakwambia kuwa hilo ni tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
napenda wanawake wote ninao waona napenda nifanye mapenzi nao. Tatizo ni nini?
tulia mtumishi.
Kwani sijui kumqoute mtoa mada?
umri nina mkubwa tu sema sijafanya sana haya mamboNi jambo la umri tuu.
napenda baada ya kutamani.unapenda au unatamani?
Nifundishe basi ila shurti uwe without ili nielewe vizuri.
Imeandikwa: “aziniye na mwanamke hana akili kabisa” maana anafanya litakalomeangamiza nafsi yake [emoji108][emoji108]
Tafakali
Sent using Jamii Forums mobile app
Je mlevi je ?Imeandikwa: “aziniye na mwanamke hana akili kabisa” maana anafanya litakalomeangamiza nafsi yake [emoji108][emoji108]
Tafakali
Sent using Jamii Forums mobile app
duh
Hilo ni pepo la ngono kabisa.napenda wanawake wote ninao waona napenda nifanye mapenzi nao. Tatizo ni nini?
Katika Ubora wakoHuna tatizo kabisa tena kemea hilo pepo kichwani linakwambia kuwa hilo ni tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app