Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wanataka wasikie ana degree ya music [emoji445], Bila degree kwao ni bure, na ndio ujinga tuliokalilishwa watanzania wa kuzalauriana sisi kwa sisiwatu mnamkandia jamaa kama amezuia riziki zenu.
mbona anaendesha kipindi vizuri?????
kama hajui nendeni nyie mkakiendeshe hicho kipindi na sio kumdharau kiasi hicho.
pengine mnamponda wakati wakiwaambia hata kuimba singeli tu hamuwezi
kweli ni ujinga na sijui lini tutaheshimisnaWao wanataka wasikie ana degree ya music [emoji445], Bila degree kwao ni bure, na ndio ujinga tuliokalilishwa watanzania wa kuzalauriana sisi kwa sisi
Zomboko alikuwa mcheza show wa muumini?,.Humfahamu zomboko,acha kuchafua watu mkuu..hana utaalam wowote alikuwj steji show tu wa muumin mwinjuma,aliwahi kuimba kidogo ila anajifanya mc kwenye shughuli za kiswahili maarufu kama mc wa kizaramo,anamgwaya sana bosi wake deo rweyunga!ila nenda riverside utamkuta
Ni mchambuzi mzuri hasa mziki wa zamani(zilipendwa) ,ni mtaalamu sana wa kupiga vyombo na pia alishawahi kuimba! Moja ya ngoma kali kabisa ,alipangilia mshairi vizuri,utunzi mzuri ,melody ya hatari sana! KULA CHUMA HICHO.ningependa kufahamu wasifu wake katika tasnia ya muziki
Ila kuna watu wana roho mbaya yani unaweza kuta hata sura hawamjui lakini wanavyomponda ni kama wanalala na kuamka nae dailyDuh ! watu wengi wameponda kuliko waliojibu swali !
Salam wakuu,
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha hawavumi lakini wamo cha itv. Huwa naenjoy kuangalia vipaji mbalimbali chipukizi, pia huwa naenjoy sana uchambuzi wa huyu bwana.
Anaonekana ana utaalam wa muziki hivyo ningependa kufahamu wasifu wake katika tasnia ya muziki au kama alishawahi kuwa mwanamuziki wa bendi fulan
kila chuma iko 😂💔🙌Ndiyo maana kikaitwa"HAWAVUMI LKN WAMO"
Unamjua SWEDI MWINYI wewe???zomboko ni Raisi wa wachambuzi wa mziki wa dansi tanzania na hana mpinzani,,, hizo nyingine ni bla blah tuu, kama kuna mtanzania anayeweza KUFANYA mchambuzi wa muziki wa kale kama Zomboko atajwe hapa....Uzuri wake amekaa na hawa wasanii wa zamani anawajua vizuri sana.. HAYO MENGINE NI CHUKI BINAFSI TUU..... Mwingine anayeweza kumpa upinzani kidogo ni Masoud Masoud Manju wa Muziki wa TBC
Naona wewe ndiye umeandika kitu nilichokuwa nataka.Anaishi mjini kwa mdomo tu hana elimu zamani alikuwa anachambua muziki Rfa ndio Radio one wamemuajiri sasa
Huyu ni mzaramoNaona wewe ndiye umeandika kitu nilichokuwa nataka.
Kifupi huyu jamaa ni kama yule jamaa yenu wa ngumi za peresu, yaani Mungu amewafungulia njia kwa uwezo wao siyo elimu.
Naona huyu zomboko anaitwa mtangazaji wa TV and Radio nowadays.
Kivumbi leo 😃Kula chuma hicho