Napenda kufahamu kuhusu Rajab Zomboko wa 'Hawavumi lakini Wamo'

Napenda kufahamu kuhusu Rajab Zomboko wa 'Hawavumi lakini Wamo'

Ana utaalamu gani zaidi ya ujanja ujanja wa kwao manzese? Yule na Mbwiga wote kujua kuongea sana ndiyo kunawaweka mjini
 
ITV wanatoa ajira za kudumu aiseeh😅 hongera zomboko ten years uko kwa hiko kipindi🙏 lol Kama miaka yangu ya experience ya fani nilosomea🙏how time flies
Kipindi chake saa ngapi? Nilimfatilia wakati nipo iringa ilikuwa saa nne usiku nakumbuka ilikuwa mwaka 2016
 
Salam wakuu,

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha hawavumi lakini wamo cha itv. Huwa naenjoy kuangalia vipaji mbalimbali chipukizi, pia huwa naenjoy sana uchambuzi wa huyu bwana.

Anaonekana ana utaalam wa muziki hivyo ningependa kufahamu wasifu wake katika tasnia ya muziki au kama alishawahi kuwa mwanamuziki wa bendi fulani.

View attachment 2577588
Kula chuma hicho, dadeki🤣🙌
 
Ana utaalamu gani zaidi ya ujanja ujanja wa kwao manzese? Yule na Mbwiga wote kujua kuongea sana ndiyo kunawaweka mjini
Kwani mnataka sehemu za vipaji watu walete degree??
Kwani kina Jay Z Wana degree??
Kina Ronaldo Wana degree??
 
zomboko ni Raisi wa wachambuzi wa mziki wa dansi tanzania na hana mpinzani,,, hizo nyingine ni bla blah tuu, kama kuna mtanzania anayeweza KUFANYA mchambuzi wa muziki wa kale kama Zomboko atajwe hapa....Uzuri wake amekaa na hawa wasanii wa zamani anawajua vizuri sana.. HAYO MENGINE NI CHUKI BINAFSI TUU..... Mwingine anayeweza kumpa upinzani kidogo ni Masoud Masoud Manju wa Muziki wa TBC
HATA DRAFT LINA RAIS

Mfuatilie Masoud Masoud wa TBC ndio utajua kuwa hujui.
 
Back
Top Bottom