Napenda kufahamu kuhusu Rajab Zomboko wa 'Hawavumi lakini Wamo'

watu mnamkandia jamaa kama amezuia riziki zenu.
mbona anaendesha kipindi vizuri?????
kama hajui nendeni nyie mkakiendeshe hicho kipindi na sio kumdharau kiasi hicho.

pengine mnamponda wakati wakiwaambia hata kuimba singeli tu hamuwezi
 
Wao wanataka wasikie ana degree ya music [emoji445], Bila degree kwao ni bure, na ndio ujinga tuliokalilishwa watanzania wa kuzalauriana sisi kwa sisi
 
hana utaalam wowote alikuwj steji show tu wa muumin mwinjuma,aliwahi kuimba kidogo ila anajifanya mc kwenye shughuli za kiswahili maarufu kama mc wa kizaramo,anamgwaya sana bosi wake deo rweyunga!ila nenda riverside utamkuta
Zomboko alikuwa mcheza show wa muumini?,.Humfahamu zomboko,acha kuchafua watu mkuu..
 
Unamjua SWEDI MWINYI wewe???
 
Anaishi mjini kwa mdomo tu hana elimu zamani alikuwa anachambua muziki Rfa ndio Radio one wamemuajiri sasa
Naona wewe ndiye umeandika kitu nilichokuwa nataka.

Kifupi huyu jamaa ni kama yule jamaa yenu wa ngumi za peresu, yaani Mungu amewafungulia njia kwa uwezo wao siyo elimu.

Naona huyu zomboko anaitwa mtangazaji wa TV and Radio nowadays.
 
Huyu ni mzaramo
Anaishi zogowale kule kibaha madafu
Mambo yake si haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…