Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
- Thread starter
-
- #21
Mungu ni mkubwa siku baba akiaga dunia atateseka kama hajapata kazi.Ww kama mkubwa wake yakupasa umfundishe adabu. Timua huko aliko kwa baba mwambie atafute kazi afanye sio anakaa tu anabweteka. Kumbuka saizi anadeka kwa baba akitoka hapo atakuja kudeka kwako. Shauri yako mtakuja nuniana kwa mbeleni msipo ziba ufa.
Tafuta kijana saini nae mkataba maana watu mkielewana kwa mdomo hakuna mbaya aisee ila ukikaza kabisa utafanikiwaMkuu hayo mawazo tayari nilishawahi kufikiria, nipo na mdogo wangu wa kuzaliwa ila hataki kabisa shida ye anataka akae kwenye kiti azunguke kama boss.
Baba aliwahi kumpatia nafasi ya kwenda JKT aliamua kurudi hata mafunzo hayajaanza.
Kwa ufupi ni mvivu wa kutupwa lakini angefaidi matunda yangu.
Aisee pole sana una mtihani mzito sana mbeleni. Yaani mtu ameoa alafu hana kazi kisha anategemea kupewa hela ya matumizi kama yy ndio ameolewa.!!! Fanya hiv muite kaa nae uongea nae kwa upole na upendo kisha mshirikishe hiyo ishu muelekeze kwa upole mpaka aelewe. Mkuu msaidie ndugu yako acha kulemaa wakati ndunguyo anapotea. Kaa nae mfunze kazi mwambie maisha ni hiv wala sio hivyo utakavyo ww.Sina uwezo wa kumfukuza maana anakaa baba sio kwangu Ba istoshe kitu kibaya zaidi kaowa juzi hana hata kazi za kufanya analishwa nyumbani huku nikitegemewa na mimi nnachotuma ndo aunganishie hapo hapo.
Ila kuna siku nilishakataa tangia siku aliyotafuta sababu ya kurudi JKT hadi leo sina ham nae.
Namsaidia kwasababu dam ni mzito kuliko maji lakini yamenifika shingoni maana anajua kunipangia matumizi ya pesa zangu ila yeye kazi hataki.
Kwahiyo na ww umetulia tu na umelidhika badala ya kumsaidia ndugu yako.Mungu ni mkubwa siku baba akiaga dunia atateseka kama hajapata kazi.
Itabidi mzigo niubebe mimi.
Mkuu wewe mzazi wako akisema hapana wewe unasema ndio?Kwahiyo na ww umetulia tu na umelidhika badala ya kumsaidia ndugu yako.
Unaweza kuja mkuu haina shida.Kwanza nikupongeze kwa jitihadazako na kwa moyo wako wakusaidiana, mkuu niruhusu nikufuate pm.
Wazo lako ni zuri lakini kiuhalisia utapata hasara!...kwa mtaji wa laki5 huwezi kufanya biashara ya vitenge kutoka kigoma kwa kumtuma mtu asiyekuwa na uzoefu,tena umgharamie chakula na malazi aende kufuata pea 10 za vitenge then ukopeshe uanze kudai!!!!...utaishia kujuta kumbe tatizo ni mipango!Huko ukichukua vile vya elfu 24 Moro wanakopesha 45 kwa mwezi.
Vingine vya bei ya juu sijajua maana nataka nianzie hapo kwanza.
[emoji121]Mkuu hayo mawazo tayari nilishawahi kufikiria, nipo na mdogo wangu wa kuzaliwa ila hataki kabisa shida ye anataka akae kwenye kiti azunguke kama boss.
Baba aliwahi kumpatia nafasi ya kwenda JKT aliamua kurudi hata mafunzo hayajaanza.
Kwa ufupi ni mvivu wa kutupwa lakini angefaidi matunda yangu.
nimekuchek pmWakuu habari za majukumu ya kutwa mzima.
Mimi ni kijana wa kiume (31) nina ham ya kutaka kufanya biashara lakini kila ninae muamini na kumuachia mtaji anakula mazima yaani mpaka nashindwa kumuamini tena mtu yeyote hata kama hana nia mbaya na mimi.
* Wa kwanza tulikubaliana biashara fulani nikampa mtaji wa laki 4 lakini hadi leo sikuona mtaji wala faida.
* Wa pili na yeye nilimpa laki 5 na yeye hadi leo sikuona faida wala mtaji.
* Wa tatu na yeye nilimpa laki 3 lakini alijiongezea yeye kwenye biashara zake yeye nilimbana akarudisha pesa zangu.
Sasa hapa nilipo nimekaa nawaza tena nianzishe biashara lakini kuna mdau mmoja alinambia ni bora utoe vitenge Kigoma na kuleta Dar aidha kwa cash au mkopo.
Iwapo kama wateja watakua waaminifu ( wa mkopo).
Ila changamoto iliyopo ni kukosa mtu mwaminifu wa kutoa kule na kuleta sehemu husika.
Napenda kusaidia mtu kwa njia kama kama hiyo ili na yeye apate chochote lakini watu wa sasa hawafadhiliki.
Hapa nilikua nataka nitoe fursa ya shilingi laki 5 ya kuanzia lakini ndo mpaka sasa naumiza kichwa nani nimpe afanye hiyo biashara.
Kazi yake aende akavichukuwe na kuja navyo Dar.
Kama hana wenyeji atakua analala guest gharama juu yangu ilimradi vyuma vilegee.
Sasa wakuu nimeona nije hapa nipate ushauri wowote kwenu maana hapa pana watu wana maoni ya mbali kuliko hata mitaani.
Na pia najua kuna watu watabeza ila mnaruhusiwa ila siruhusu matusi tu......karibuni.
Wakuu habari za majukumu ya kutwa mzima.