Napenda kufanya biashara ila sijapata muuzaji mwaminifu

Mkuu!
Achana na hizo habari za kumpa mtu 500,000 sijui 1,000,000....

Weeki ijayo Mwishoni nashusha Vitenge vya Wax Original kama Piece 300 hapo Dar!

Vitenge ni kutoka Congo, Burundi na Nigeria...
Bei ya jumla ni 25,000, ukichukua zaidi ya 10 pieces bei 20,000, sitaki faida kubwa coz navitoa jikoni!

Jumla naanza kuuza kuanzia 10 Pieces....
Kama upo serious njoo PM!
 
Vijana wote tungekuwa hvi nchi ingepiga hatua sana kimaendeleo. Tatizo vijana wa sasa wamelogwa na michezo ya kubeti.
 
Nitakutafuta boss
 
Biashara yoyote lazima tu upigwe sema inategemea na mfanyakazi ulienae je anapiga kiakili au ndo anakumaliza kabisa
 
biashar ya kweli ni kilimo tuu best,jaribu utaona.
 
Tatizo untaka kuwafanya wenzako ng'ombe wa maziwa, wao nao wameshtuka. Wanakufanya ATM yao. Badilika. Achana mipango ya kufanya biashara za kishamba kama hizo. Pambana mwenyewe kwa asilimia 100.
 



Wax Original kwa 20,000? MMMMMMMMMMMMMhhhhhhh, sijui.


NB: Buyers be aware
 
Daaaaah kumbe hii changamoto ya kutoa hela kwa mtu badala yake ni kuingia hasra huoni faida wala mtaji ni kubwa kiasi hicho me binafs nilitaka nimpe mtu mtaji wa bishara ya pampas za watoto (Baby diapers) ila nishaanza kuingiwa nabuwoga sas
 
Wax Original kwa 20,000? MMMMMMMMMMMMMhhhhhhh, sijui.


NB: Buyers be aware
Mkuu! Si unafahamu Bei ya Soda mtaani ni sh. 600 but kuna sehemu Soda hiyo hiyo inauzwa 1,000....

Mm nipo Congo kwa Mishe zangu, Wax huku ni cheaper, nikirudi kama na 300 nikauza kwa 20,000 au 25,000 nna hasara gani?

Sina frame kusema nalipia kodi!
 
Wax Original kwa 20,000? MMMMMMMMMMMMMhhhhhhh, sijui.


NB: Buyers be aware


Wajuzi watakuja kusema! Nimekuwekea alama zote zinazotambulisha Wax Original toka Congo, wenyewe wanaita Wax Chitenge....
Ungejua bei wanayouza huku, hata nikiuza 15,000 inanilipa!
 
Uwe unamchunguza mtu hata kwa mwaka bila kumshiriksha kibiashara pia uwe mfatiliaji wa pesa zako(biashara yako
 
Kama upo serious nicheki PM,

Nitakupa namba ya mtu anaeuza vitenge huko kigoma! Yeye huwa ananitumia kwa basi
 
Tatizo untaka kuwafanya wenzako ng'ombe wa maziwa, wao nao wameshtuka. Wanakufanya ATM yao. Badilika. Achana mipango ya kufanya biashara za kishamba kama hizo. Pambana mwenyewe kwa asilimia 100.
Ahsante mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…