Napenda kufanya tendo la ndoa (sex) sana karibu kila siku

Napenda kufanya tendo la ndoa (sex) sana karibu kila siku

styl

Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
52
Reaction score
8
Naombeni mnishauri, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29; napenda sana kufanya mapenzi bila kupumzika karibu kila siku napata hamu. Je ina madhara kiafya.
 
Kama umeoa hiyo haina shida ila kama ni kila siku una mpya ndani ya nyumba yako mhhhh karibuni tutakuimbia si mbali
 
Naombeni mnishauri, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29; napenda sana kufanya mapenzi bila kupumzika karibu kila siku napata hamu. Je ina madhara kiafya.

Jifanye busy kama huna kazi jitolee kuzibua mitaro jiji liwe safi hamu itaisha.
 
Kama yupo wa uhakika wa kufanya naye we jiachie kwa raha zako!
 
Naombeni mnishauri, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29; napenda sana kufanya mapenzi bila kupumzika karibu kila siku napata hamu. Je ina madhara kiafya.

Kijana siku moja moja uwe unatembelea wagonjwa wanaugua ukimwi hospitali, naamini pepo lako la ngono litakushuka!
 
Ndugu yangu kuna tatizo
huo sio mche wa sabuni kuwa eti utaisha bali kuna 'semen' shahawa zinatengenezwa
au unataka kulikomoa hilo tundu tulilotokea
hii kitu piga wako mmoja kwa afya na hao wengine kwa majaribio tu
Kwani umri umeenda (29) ungewaachia wa miaka 19 kwao ni kitu kigeni
(Nyama ni ileile yafanana ingawa mabucha tofauti)
 
Tatizo mawazo ya ngono yametawala akili zako
 
Kwani ww kabila gani tafadhali?
Hilo tatizo kwa kitaalamu linaitwa nymphomaniac na lipo sana tu. Actually hua mtu hadi anateseka na matamanio. Ni vizuri upate counselling na ushauri pia hatua ya kwanza kabisa kuchukua ni kuachana na marafiki ambao mda wote mnaongelea mambo hayo na ujitahid kujenga urafiki na watu wenye hobbies zingine e.g. kufanya kazi na michezo/mazoezi. Ila una mtihani mkuu.
 
jua tunda lililoiva sana liko karibu ya kuoza take care umeanza kuoza hivyo si mda utakuja kuomba msaada ......we endelea tu kijana
 
kunjwa maji ya mizizi ya mrimao, na pia pendelea kuogea majani ya mnyonyo kama sabuni yako ya kuogea ukifanya hvyo ham itapungua 2.
 
Avoid pombe ukishatamani unaamini pombe n slope ya kutongoza na kuongeza nguvu za sex
Nop kataa pombe itaamka kwa mudawake
 
Back
Top Bottom