Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Wakuu Hbr za Week-end...!!!!???. Km Kichwa kinavyosomeka, Ktk Mikoa yote ya Tanzania, Mkoa Wa Mbeya nimetokea Kuupenda Kuliko Mikoa mingine Kwasababu kadhaa, Ya Kwanza ikiwa ni Gharama ndogo za Maisha tofauti na Mikoa mingine, Pili Mzunguko Mzuri Wa Fedha, Tatu ni Hali nzuri ya hewa inayovutia Uzalishaji mkubwa wa Mazao ya Chakula na Biashara, Nne ni Miundombinu Bora ya Barabara inayowezesha Usafirishaji wa Bidhaa za Viwandani na Kilimo.Hizo ni baadhi tu ya Sababu, lkn zipo nyingi.Nakupenda Mbeya japo siyo Kwetu.