NAPENDA KUISHI MBEYA.

NAPENDA KUISHI MBEYA.

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Wakuu Hbr za Week-end...!!!!???. Km Kichwa kinavyosomeka, Ktk Mikoa yote ya Tanzania, Mkoa Wa Mbeya nimetokea Kuupenda Kuliko Mikoa mingine Kwasababu kadhaa, Ya Kwanza ikiwa ni Gharama ndogo za Maisha tofauti na Mikoa mingine, Pili Mzunguko Mzuri Wa Fedha, Tatu ni Hali nzuri ya hewa inayovutia Uzalishaji mkubwa wa Mazao ya Chakula na Biashara, Nne ni Miundombinu Bora ya Barabara inayowezesha Usafirishaji wa Bidhaa za Viwandani na Kilimo.Hizo ni baadhi tu ya Sababu, lkn zipo nyingi.Nakupenda Mbeya japo siyo Kwetu.
 
vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?

nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
 
Usifikirie Mara mbili , uamuz wako wa kuja Mbeya ni uamuzi mzuri na hautojutia. Sipo Mbeya mjini but nakuhakikishia kila kitu ni nafuu.
poa mkuu ngoja nipangilie masuala niibuke huko.
 
vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?

nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Vyumba vya Kupanga vipo full, Kazi zipo nyingi, lkn Usichague kazi. wewe jali kipato.
 
ndo hivo aisee sizonje anazingua ukimtegemea utakufa njaa, nikiweka mtaji wa laki NNE kwa kuuza juice, karanga,.....soda inatosha, am a man I was born to suffer, this is how I must suffer...vyeti tupa kuleee!
Kweli Mkuu, hapo Umenena.
 
vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?

nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
ghetto bei rahisi kinoma japo bei zinatofautiana kutegemea na location..vyumba vingi vya uswazi kodi yake ni elfu 20, 25 mpaka 30(kina umeme na maji). ukisogea katkati ya mji kidogo vinaanzia elfu 40, 50 mpaka 60( mfano mitaa ya Forest/nadhan n kutokana na eneo hili kuwa karibu na vyuo [Saut na Mzumbe]
 
okay ndo fresh sasa,
 
Back
Top Bottom