Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Wakikujibu nitag!vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?
nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
poapoa mkuu, nataka nitoke mkoa wanakonifahamu niende ugenini nitauza hata karanga, maji, soda kopo, stendiWakikujibu nitag!
Safi sana, mwanaume kazi sio surapoapoa mkuu, nataka nitoke mkoa wanakonifahamu niende ugenini nitauza hata karanga, maji, soda kopo, stendi
ndo hivo aisee sizonje anazingua ukimtegemea utakufa njaa, nikiweka mtaji wa laki NNE kwa kuuza juice, karanga,.....soda inatosha, am a man I was born to suffer, this is how I must suffer...vyeti tupa kuleee!Safi sana, mwanaume kazi sio sura
Usifikirie Mara mbili , uamuz wako wa kuja Mbeya ni uamuzi mzuri na hautojutia. Sipo Mbeya mjini but nakuhakikishia kila kitu ni nafuu.poapoa mkuu, nataka nitoke mkoa wanakonifahamu niende ugenini nitauza hata karanga, maji, soda kopo, stendi
poa mkuu ngoja nipangilie masuala niibuke huko.Usifikirie Mara mbili , uamuz wako wa kuja Mbeya ni uamuzi mzuri na hautojutia. Sipo Mbeya mjini but nakuhakikishia kila kitu ni nafuu.
Vyumba vya Kupanga vipo full, Kazi zipo nyingi, lkn Usichague kazi. wewe jali kipato.vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?
nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Nishamjibu tayari.Wakikujibu nitag!
Kweli Mkuu, hapo Umenena.ndo hivo aisee sizonje anazingua ukimtegemea utakufa njaa, nikiweka mtaji wa laki NNE kwa kuuza juice, karanga,.....soda inatosha, am a man I was born to suffer, this is how I must suffer...vyeti tupa kuleee!
poa mkuu sichagui kazi ilimradi iwe halali tuVyumba vya Kupanga vipo full, Kazi zipo nyingi, lkn Usichague kazi. wewe jali kipato.
Vyumba vinapangishwa kwa bei gani?Nishamjibu tayari.
ghetto bei rahisi kinoma japo bei zinatofautiana kutegemea na location..vyumba vingi vya uswazi kodi yake ni elfu 20, 25 mpaka 30(kina umeme na maji). ukisogea katkati ya mji kidogo vinaanzia elfu 40, 50 mpaka 60( mfano mitaa ya Forest/nadhan n kutokana na eneo hili kuwa karibu na vyuo [Saut na Mzumbe]vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?
nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Vinauzika ,Baridi haipo Mbeya yote, Kuna Maeneo km vile Mbarali, Mbozi, Chunya, Kyela huko kuna joto kwa hiyo Biashara ya Juice ndo Mahali pake.Hivi juisi na soda vinauzika sana kule na baridi lake?
Ni Kweli kabisa Mkuu.Usifikirie Mara mbili , uamuz wako wa kuja Mbeya ni uamuzi mzuri na hautojutia. Sipo Mbeya mjini but nakuhakikishia kila kitu ni nafuu.
okay ndo fresh sasa,ghetto bei rahisi kinoma japo bei zinatofautiana kutegemea na location..vyumba vingi vya uswazi kodi yake ni elfu 20, 25 mpaka 30(kina umeme na maji). ukisogea katkati ya mji kidogo vinaanzia elfu 40, 50 mpaka 60( mfano mitaa ya Forest/nadhan n kutokana na eneo hili kuwa karibu na vyuo [Saut na Mzumbe]