NAPENDA KUISHI MBEYA.

vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?

nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Vibarua vipo hasa vya kulima mashamba! Kulima matuta ya viaz hekari ni mpaka laki moja na ishirini ila unavitafuta mwenyewe! Vyumba vya kupanga vipo vingi tu na being no kati ya elfu tano na elfu hamsini, kulingana na sehemu na ubora was chumba! Karibu sana!
 
ahsante mkuu naibuka huko soon, mi nataka ile room ya bei cheee! maana ni ya mda kama kambi ndogo.
 
vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?

nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Ghetto unapata single room kati elfu 25-35 hivi
 
ahsante mkuu naibuka huko soon, mi nataka ile room ya bei cheee! maana ni ya mda kama kambi ndogo.
Matuta yetu ya viazi hautayaweza kuyalima kama wewe ni mtoto wa mama. Ni makubwa mno, na sometime inabd upande juu na stuli ili kuvuta udongo(kidding)
 
vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?

nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Vyumba ni bei rhs naishi kwenye nyumba ya vyumba 4 na choo ndani imezungushwa na geti..70k kwa mwezi..
 
Matuta yetu ya viazi hautayaweza kuyalima kama wewe ni mtoto wa mama. Ni makubwa mno, na sometime inabd upande juu na stuli ili kuvuta udongo(kidding)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tusitishiane sasa unanikata mzuka.
 
vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?

nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Vibarua vingi vipo Tunduma kama unataka kutoka fasta. kuvusha mizigo kwa kutumia talori,baiskeli,pikipiki n.k
 
Danganyaneni weeeeeee, alafu mkifika huku ndio muanze kuwa vibaka wa kutuibia kuku zetu.
 
Mbeya hali ya hewa imetulia sana, kuna maji yasiyo na chumvi yanapatikana mda wote kwa upande wa chakula kuna vyakula vingi sana kama mchele, mahindi, maharage, viazi, ndizi, maziwa mbogamboga na matunda na huduma nyingi za kijamii huwezi kujuta kuishi mbeya( the greencity)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…