NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 728
da kweli Mbeya pa ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibarua vipo hasa vya kulima mashamba! Kulima matuta ya viaz hekari ni mpaka laki moja na ishirini ila unavitafuta mwenyewe! Vyumba vya kupanga vipo vingi tu na being no kati ya elfu tano na elfu hamsini, kulingana na sehemu na ubora was chumba! Karibu sana!vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?
nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
ahsante mkuu naibuka huko soon, mi nataka ile room ya bei cheee! maana ni ya mda kama kambi ndogo.Vibarua vipo hasa vya kulima mashamba! Kulima matuta ya viaz hekari ni mpaka laki moja na ishirini ila unavitafuta mwenyewe! Vyumba vya kupanga vipo vingi tu na being no kati ya elfu tano na elfu hamsini, kulingana na sehemu na ubora was chumba! Karibu sana!
Ghetto unapata single room kati elfu 25-35 hivivipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?
nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Matuta yetu ya viazi hautayaweza kuyalima kama wewe ni mtoto wa mama. Ni makubwa mno, na sometime inabd upande juu na stuli ili kuvuta udongo(kidding)ahsante mkuu naibuka huko soon, mi nataka ile room ya bei cheee! maana ni ya mda kama kambi ndogo.
Vyumba ni bei rhs naishi kwenye nyumba ya vyumba 4 na choo ndani imezungushwa na geti..70k kwa mwezi..vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?
nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tusitishiane sasa unanikata mzuka.Matuta yetu ya viazi hautayaweza kuyalima kama wewe ni mtoto wa mama. Ni makubwa mno, na sometime inabd upande juu na stuli ili kuvuta udongo(kidding)
poa poa sana HornetNjoo tu huku mambo safi
Jamaa anakutania tu !!, Mbeya kupo Bomba sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] tusitishiane sasa unanikata mzuka.
Ni Kweli Mkuu, maana mimi nikiwa Mhitimu tu wa Chuo, niliweza kuishi Nyumba ya kupanga na kufanikiwa kupata mahitaji yangu kwa shughuli ndogondogo.Aisee mbeya ni sehemu nzuri sana ya kuishi kwa kuzingatia vigezo ulivyovitaja ni sahihi, mbeya sio kwetu ila nimeishi takribani miaka minne huko.
Vibarua vingi vipo Tunduma kama unataka kutoka fasta. kuvusha mizigo kwa kutumia talori,baiskeli,pikipiki n.kvipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?
nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Zinauzika sana sio kila wakat ni barid, msimu wa barid hasa ni kuanzia mwezi 4 - 8 na mida ya mchana hali ya hewa ni ya joto. Mby the green city.Hivi juisi na soda vinauzika sana kule na baridi lake?
Wewe jamaa utakuwa mvivu sana. Ndio maana unasema hivyo. Kwa mchapakazi Mbeya lazima atoke.Danganyaneni weeeeeee, alafu mkifika huku ndio muanze kuwa vibaka wa kutuibia kuku zetu.
Yeah. Hata akienda na hiyo laki nne tunduma na akiwa mjanja atatoka sana. Akauze hata jezi au tisheti.Vibarua vingi vipo Tunduma kama unataka kutoka fasta. kuvusha mizigo kwa kutumia talori,baiskeli,pikipiki n.k